FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,820
Unataka mungu ampe nini zaidi ya alivyo mpa hadi sasa? Mbona hamna shukrani... Uwaziri, familia nzuri ,wizi aliofanya na ubadhilifu wa mali za umma, Bado tu mwataka azidishiwe zaidi ya hapo?
= ubadhirifu
Wewe itakuwa ni mhamiaji tu wa Tanga, bado asili na fasili ni huko huko kwa kina Magufuli.
Msalimie yule ajiitae abdul mohamed
Last edited by a moderator: