Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

kweli kabisa bora lowassa ana jipya la kumtoa babu seya gerezani bila kusema kwa sheria gan!!

Sheria ile ile aliyotumia Kikwete kuwatoa polisi waliohukumiwa kwa kosa la kumuua aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa zamani wa usalama wa taifa, Amrani kombe.
 
baada ya ccm kuamini katika democrasia;

kuachia kila mtu kugombea , na si chama kuchagulia watu

wajumbe hawapati shida.

Raisi kikwete yupo anakula kuku ikulu; mgombea sio mzigo


Totally correct! Mgombea mzigo anawajibisha wachafu wenzie kujisafisha ila huku kwa magufuli ni kitonga
 
  • Thanks
Reactions: R.B
11218624_875441515902799_469992946370659694_n.jpg
 
hivi kama magufuli akihamia ukawa kuna tatizo gani, lengo si kuwahudumia watanzania jamani.
hapa ni lowasa tu. Acha dawa iwaingie.
viva lowasa.
 
hahahahahahaha inashangaza mgombea wa ccm mr magufuli anaposhangaaa umasikini wa wananchi
 
Huyu jamaa ni kweli alizaliwa 1959? Anaonekana mzee mno kuliko umri wake ..
 
Unataka mungu ampe nini zaidi ya alivyo mpa hadi sasa? Mbona hamna shukrani... Uwaziri, familia nzuri ,wizi aliofanya na ubadhilifu wa mali za umma, Bado tu mwataka azidishiwe zaidi ya hapo?
 
Anayeshabikia ccm anafaa apelekwe hosptali ya vichaa

Hizi kauli tulishazizoea hata Msigwa alisema atakaye mshabikia lowasa apimwe akili sasa sijui unatuambia nini.Mungu uliye mbinguni tunamweka mikononi mwako Mh john Magufuli mjalie afya njema pia mpe kibari machoni mwacho ili awe rais wetu ameeeen
 
11903729_800522860065707_4075185062714605236_n.png

Hebu muombee baraka tele Shujaa wetu Mh. John Magufuli.
​

Mungu wangu, kweli huyu mtu ni wa kumpambanisha na huyu kweli?
↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓↓
 

Attachments

  • 1441380727890.jpg
    1441380727890.jpg
    20.8 KB · Views: 137
Back
Top Bottom