Unataka mungu ampe nini zaidi ya alivyo mpa hadi sasa? Mbona hamna shukrani... Uwaziri, familia nzuri ,wizi aliofanya na ubadhilifu wa mali za umma, Bado tu mwataka azidishiwe zaidi ya hapo?
wadau nimeamua kuanzisha huu uzi uwe maalumu kwa chama cha mapinduzi maana naona hakuna habari yoyote inayozungumzia chama hiki zaidi ya UKAWA(habari ya mjini na vijijini) tu.UKAWA wametawala kila kona vijiweni,magengeni,vyombo vya usafiri,mashuleni mpaka vyuoni na sehemu nyinginezo nyingi.wadau wale wapenda CCM mkutane hapa muone jinsi gani mnaweza kukifanya chama chenu kiwe kama chetu-UKAWA.
ukiona huzungumzwi ujue huna jipya la kuwafanya watu wakujadili,
kiswahili kizuri tunasema: Ukiona kinajadiliwa ujue kimekubalika.
ukawa!!!
Ukiona huzungumzwi ujue huna jipya la kuwafanya watu wakujadili,
kiswahili kizuri tunasema: ukiona kinajadiliwa ujue kimekubalika.
Zilongwa mbali zitendwa mbali
Tungoje tuone...
Jinga la CCM.
Fisi la Chagga-land