Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Jpm atashinda kwa kura nyingi sio kwa sababu ni mgombea mzuri au ana sera nzuri bali udhaifu wa wapinzani ambao hawajui wapiga kura wao wanataka nini
Ccm ingekuwa inajua wapiga kura wanataka nini ingeitumia nec kushinda uchaguzi? Huko zanzibar mara zote ccm inapigwa chini zinatumika busara na ubabe ccm kuendelea kubaki madarakani kama kweli ccm inajua wapiga kura wanataka nini ishinde znz kihalali
 
Umeandika gazeti la mzalendo lkn ndani yake kumejaa upuuzi mtupu kama upoloto
 
Ccm ingekuwa inajua wapiga kura wanataka nini ingeitumia nec kushinda uchaguzi? Huko zanzibar mara zote ccm inapigwa chini zinatumika busara na ubabe ccm kuendelea kubaki madarakani kama kweli ccm inajua wapiga kura wanataka nini ishinde znz kihalali
Tarehe 30 matokeo yatakuwa yameshatangazwa, tukijaaliwa uhai tutajua nani yupo sahihi
 
Leo yuko wapi Mh Magufuli? Sioni UPDATE hapa jukwani.

Naomba unifafanulie kwenye SEKTA ya Afya. Serikali kuongeza budget ya madawa na kuongeza majengo ni uwekezaji kwa matarajio ya kupata zaidi au ni kuongeza huduma kwa wananchi? Mantiki ya swali langu ni kuwa hospitali tunalipia kumuoana daktari, tunalipia vipimo (maabara) na tunalipia dawa. Ongezeko la bajeti ya madawa inamaanisha ongezeko la mtaji au sisi wananchi tumetumia hizo dawa?

Naomba unijibu ni maswali yanayonitatiza, kwani naamini huduma za afya zinatakiwa zijiendeshe aidha kwa CASH tunazolipa au MALIPO toka kampuni za bima
 
1.Watumishi piga chini JPM
2.Wahitimu piga chini JPM
3.Wakulima piga chini JPM
4.Vijana kwa ujumla piga chini JPM

Kura hizo za makundi hayo zinatosha kumpa ushindi Lissu!
Ubarikiwe sana mkuu
 

Hata yy Hana shaka na Hilo, anajua kuwa atashinda tu

Ila atajifunza kuwa Watanzania sio watu wa kudanganyika

CCM walitegemea kwa mambo waliyofanya then Hakuna mtu angeenda kwa wapinzani au wapinzani watakosa la kuongea
 
Hiyo ndoto ni ya mchana, watu wa sasa hivi wameelimika sana, siyo kujaa kwenye mikutano ndiyo kuchaguliwa bali ufahamu kuwa hatua ya kwanza ni kusikiliza sera, hatua ya pili ni kuzitafakari na hatua ya mwisho ni kuchagua hiyo hatua ya mwisho ni siri ya mwananchi mwenyewe kwa hiyo usihukumu mapema.
 
Magufuli hata angewekwa kugombea na tramp angeshinda bila.utata wowote
 
Mzee Lowassa na mwenzake Sumaye wamesharudi nyumbani tangu muda tu na Kinana tunajua ana cell za CCM, hawa Wazee wamenyamaza sana.

Sasa kampeni zimeshaanza na muda unazidi yoyoma tu huku kila mgombea akivutia upande wake.

Lowassa na mwenzake Sumaye hawaonekani majukwaani au kusikika kua wanasimama kidete na kampeni za CCM ili iendelee kubaki madarakani.

Kinana naye hivyohivyo.

Mzee Pinda na uzee wake ametoka na ndege toka kwenye ule uwanja aliojenga akiwa madarakani na sasa anaonekana akihangaika kushoto kulia mambo yawe mambo na hata juzi alikuwepo Kilimanjaro kwa shughuli za kunadi wagombea kupitia CCM.

Tatizo ni nini haswa kwa Wazee wetu hawa?
 
JPM ni bidhaa inayouzika mtaani kila mtu anaihitaji kuliko wakati wowote.
 
Wamekusikia, swali fikirishi je wanaweza? maana kampeni za mwaka huu nizakupinga kwa hoja na sio kwa vioja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…