sawaNchi imejaa watu waoga, keyboard warriors, wanafiki na kizalendo ya mdomoni tu ila kiuhalisia ni Majinga na Maoga ya kupindukia
Lissu yupo hapo Tz miezi sasa,, kama mnapenda haki why msimpiganie, anabaki kuhangaika mwenyewe???
WANA MTANDAO endeleeni kuwapiga haya matanzania Majinga ambayo hayana akili, teka chukueni rasilimali zao, nchi ibaki na umaskini wa kutupwa mpaka akili iwakae sawa.
Shauri yenu!
By the way nipo zangu U.S.A hapa
We nakukubali sana, ila achaga unafiki,, ww ni mmoja wa walewale keyboard warriors tena mwandamizi......usiniendee Kilingeni tu hapo msataAtashinda akishindana na nani
Ataendelea kufanya yale ambayo hamtaki afanye,, na tena ataongeza dozi mara miaAmewaza baada ya kushinda atafanyaje? Au anataka ashinde kwanza ndipo aanze kufikiri atasongaje mbele
Ndio namna inayopaswa ku engage na hawa watu. Ili nje matokeo yaonekana lazima kubagaza kwenye katika realms, ukishinda kule hata huku kwenye tangible ni kugusaVita yetu si ya damu na nyama....
Labda atashinda sababu anashindana na kivuli chake mwenyewe.Atashinda kwa kishindi!
kwani anashindana na nani?
Sawa atashinda hiyo haina shida.Nchi imejaa watu waoga, keyboard warriors, wanafiki na kizalendo ya mdomoni tu ila kiuhalisia ni Majinga na Maoga ya kupindukia
Lissu yupo hapo Tz miezi sasa,, kama mnapenda haki why msimpiganie, anabaki kuhangaika mwenyewe???
WANA MTANDAO endeleeni kuwapiga haya matanzania Majinga ambayo hayana akili, teka chukueni rasilimali zao, nchi ibaki na umaskini wa kutupwa mpaka akili iwakae sawa.
Shauri yenu!
By the way nipo zangu U.S.A hapa
vijana wa lumumba buku saba wanashida sanaLabda atashinda sababu anashindana na kivuli chake mwenyewe.
Ushindi wake utakuwa dhidi ya kivuli chake.
Enyi wa tz nani kawaroga nyie maboyaSawa atashinda hiyo haina shida.
Tatizo anashindana na nani?
Enyi wa tz nani kawaroga nyie maboyavijana wa lumumba buku saba wanashida sana
Enyi wa tz nani kawaroga nyie maboyaLabda atashinda sababu anashindana na kivuli chake mwenyewe.
Ushindi wake utakuwa dhidi ya kivuli chake.
Enyi wa tz nani kawaroga nyie maboyaANASHINDANA NA NANI???
Afadhali ya boya linaloelea kuliko wewe nangaEnyi wa tz nani kawaroga nyie maboya
hujui kituNchi imejaa watu waoga, keyboard warriors, wanafiki na kizalendo ya mdomoni tu ila kiuhalisia ni Majinga na Maoga ya kupindukia
Lissu yupo hapo Tz miezi sasa,, kama mnapenda haki why msimpiganie, anabaki kuhangaika mwenyewe???
WANA MTANDAO endeleeni kuwapiga haya matanzania Majinga ambayo hayana akili, teka chukueni rasilimali zao, nchi ibaki na umaskini wa kutupwa mpaka akili iwakae sawa.
Shauri yenu!
By the way nipo zangu U.S.A hapa
Kwa mafuriko haya kurusha Taulo lazima.
View: https://www.youtube.com/live/wueNOcM_HkQ?si=FRwcPgIZCKrRVNOJ
HAYA NI MABO BAADHI MAKUBWA YA RAIS SAMIA NYORORO -IRINGA
. Mradi wa Kituo cha Kupampua Maji (Pumping Station) – Mkimbizi C & Dodoma Road, Iringa Mjini
- Mradi huu ulianzishwa kusaidia ukosefu wa maji kwa wakazi maeneo ya Dodoma Road, TRM Juu na Mkimbizi C. Unalenga kuhakikisha upatikanaji wa maji ya kuaminika kwa kutumia kituo cha pampu ya maji.
- Utekelezaji unaongozwa na IRUWASA na umegharimu zaidi ya shilingi milioni 135.IPP Media
2. Mradi wa Umeme wa Mwenga Hydro, Wilaya ya Mufindi
- Rais Samia alitoa ruzuku ya zaidi ya Sh 15 bilioni kupitia REA kusaidia uzalishaji wa umeme wa megawatt 4 kwa kutumia uwezo wa mito midogo (small hydro).
- Mradi huu unawasaidia zaidi ya wateja 8,000 na unaendelea kujenga uwezo wa kuunganisha wateja wapya.IPP Media
4. Weigh-in-Motion (WIM) System – Iringa
- WIM, mfumo wa kisasa wa kupima uzito wa magari moja kwa moja wakiwa barabarani, umewekwa katika Mkoa wa Iringa pamoja na mikoa mingine ili kupunguza miundombinu kuharibika kutokana na mzigo mkubwa.The Citizen
5. Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) – Uendelezaji wa Mikoa
- SGR imeendelea kufikiwa katika mikoa ikiwemo Iringa, ambapo serikali imekuza huduma za reli ya kisasa kama sehemu ya mpango mkubwa wa kieneo.
6. Mradi wa Mwongozo wa Umeme – Iringa–Sumbawanga Line
- Laini ya usambazaji wa umeme wa voltage ya juu (400 kV) kutoka Iringa kwenda Sumbawanga inaendelea kujengwa, na inalenga kuongeza usanifu wa gridi, kuimarisha huduma na kurahisisha uhamishaji umeme.
7. Uendelezaji kwa Sera ya Kuendelea na Miradi ya Maji na Afya
- Serikali iliagiza kamati za kufuatilia ujenzi wa vyumba vya madarasa, vituo vya afya na miradi ya maji, ikihusisha pia Iringa mfano kama sehemu ya malengo ya kitaifa.
8. Ushirikiano wa Kimkoa kupitia Kituo cha Miundombinu ya Kura na Reli – (Kwala Logistics Hub / SGR Bloc Train)
- Hata kama si jeografia ya Iringa pekee, miradi hii ni sehemu ya biashara na miundombinu ya reli ambayo inachangia kuimarisha usafirishaji ndani ya nchi na kikanda, ikianza maeneo kama Kwala lakini ikihusisha mikoa ya kati kama Iringa katika mpango mpana.CENTRAL CORRIDOR
9. Uwekezaji katika Sekta ya Nishati na Huduma za Umeme Vijijini
- Mradi kama Mwenga ni mfano mmoja tu — serikali imeendelea kuweka mkazo mkubwa katika usambazaji na uzalishaji wa umeme vijijini, na Iringa iko mstari wa mbele.
10. Miradi ya Afya na Usalama wa Jamii (Sehemu ya Kitaifa)
- Serikali imekuwa ikiimarisha huduma za afya, maji safi, na elimu vijijini na mijini, ambapo Iringa imefaidika kupitia sera hizi, ingawa taarifa maalum za Iringa pekee zinahitaji utafutaji zaidi.
AISEE MAMA ANATISHA SANAKwa mafuriko haya kurusha Taulo lazima.