Special Thread: Tujikumbushe matukio ya zamani ya wasanii wa Bongo Fleva

Special Thread: Tujikumbushe matukio ya zamani ya wasanii wa Bongo Fleva

Kalapina kuwapiga bitt NAKO 2 NAKO Mpaka wakaikimbia DAR na kurudi ARUSHA
Daah kalapina alikuwaga mtata sana ila mwisho wa maneno ilikuwa dudubaya alivyompiga Mr.nice hadii akamvunja kiuonoo.

Bila kusahau kuna msanii kwa jina Steve to k alipigwagaaa kisu hadi kifoo sijui wangapi wanamkumbuka
 
Binafsi simkumbuki, ila kuna msanii alimtaja "rap" kwenye wimbo wa MCHIZI WANGU REMIX
 
Hilo shindano lilifanyikaga diamond jubilee kiingilio ilikuwa buku mbili ila mwisho wa shindano ngoma walitoka droo ila yote Tisa kumi shindano LA kumtafuta mfalme wa rymes sijui ni wangapi wanaokumbuka
Mfalme was rymes naikumbuka maana bro wangu alikuwa anadoma sana magazeti ya udaku, aisee niko darasa LA 6 kweli maisha ni hatua
 
jamaa alikaa kimchelemchele. kuna john mjema yeye alijikill.
Yeah aisee lile kundi lao alikuwepo Steve k alikuwepo john mjema na spider man ,

Lakini mwisho wa Sikh Steve 2k aliuwawa alichomwaga kisuu alikuwa ugomvi yeye na meneja wakee badae john mjema nae alijiuwaa kwa kujichoma kisu kichwanii hili lilikuwa tukio LA kusisimuaaa bila kusahahauu.

Father g yule wa arusha yeye pia alichomwaga kisu akafaa kama unamfahamu alitoaga wimbo hii ni dhambi kwa mwenyezii ukienda YouTube utaukutaa.

Halafu ivi wimbo wa Mimi sio mwizi wa alikuwepo john mjema ivi naweza kuupata wapi
 
Kauzi katamusana haka,mtoto sinta na nature,tulipangaga foleni uwanja Wa jamhuri dosom kununua caset ya album ya nature ugali,complex na Vivian,amina chifupa na wenzie weengi enzi za Mzee kakobe
 
Kauzi katamusana haka,mtoto sinta na nature,tulipangaga foleni uwanja Wa jamhuri dosom kununua caset ya album ya nature ugali,complex na Vivian,amina chifupa na wenzie weengi enzi za Mzee kakobe
Dah mtoto sintaa kipindi kile alisumbua sana na ndio alikuwa top of the town sasa hivi atakuwa sjui yuko wapiii mrembo yulee,

Sio sasa hivi vijana wanazaliwa wanamjua wemaa tuu basii sinta ukiwauliza hawamjuiii
 
Kauzi katamusana haka,mtoto sinta na nature,tulipangaga foleni uwanja Wa jamhuri dosom kununua caset ya album ya nature ugali,complex na Vivian,amina chifupa na wenzie weengi enzi za Mzee kakobe
Daa complex na Vivian hawa walikuwa MTU na mpenzi walikufaga katika ajari wakitokea arushaa wakija dar .......

Amina chifupa huyu Dada yangu sitomsahau alikuwaga jirani yangu mikocheni b na pia alikuwa mtangazaji wa cluos FM kabla ya ubunge viti maalumu
 
kipindi tupo kijijini likizo ukipata nafsi ya kuja dar ata wiki tu unaongea kiswahili cha dar
DAR YA KIPINDI KILE MKUU ILIKUWA NI DAR KWELI KWELI
MIMI NILIANZA KUPANGA CHUMBA KODI NALIPA ELFU 2,

ASUBUHI CHAI ILIKUWA INAUZWA SH.50 NA VITUMBUA SH.10.

2.MCHANA UBWABWA MAHARAGE BEI 500 UKITAKA CHIPS YAI 700 NA SODA 200._

3.USIKU HIVO HIVO KAA MCHANA

4.SIKU ZA WEEKEND CLUB ILIKUWA BILICANAS , MAMBO CLUB, FM CLUB HII ILIKUWA KINONDONI KIINGILIO ILIKUWA 500 NA UKIINGIA BIA ILIKUWA 500 TENA ILIKUWA NI SAFALI LAKINI KULIKUWA NA BIA KAMA BIGWA, THE KICK BEI MPAKA 300.

HAYA NDO MAISHA DAR MIAKA YA TISINI KUJA ELFU MBILI
 
Back
Top Bottom