Special Thread: Tujikumbushe matukio ya zamani ya wasanii wa Bongo Fleva

Umekosea kidogo wakikuwa wanatoka kwenye fiesta moro wakielekea kwenye kuadhinisha miaka 25 ya ndoa ya wazazi wake na vivian pia ili complex kutambulishwa
Kaka asante sana umenikumbusha vizuli nadhani ndio kipindi hikoo walipataga na ajalii kabla ya kufika nadhani ntakuwa sahihi
 
EBANA HIVI KUNA WATU MNALIKUMBUKA KUNDI LA TMK WANAUME KABLA HALIJASAMBARATIKA CHINI YA SIR NATURE.

HALAFU MWISHO WA SIKU WALIKUJAGA KUGOMBANA HIVI CHANZO ILIKUWA NINI ?

MAANA NATURE ALIJITOA NA KUANZIA TMK WANAUME HALISI AKAWAACHA TMK WANAUME FAMILY.
 
Yeah aisee lile kundi lao alikuwepo Steve k alikuwepo john mjema na spider man ,

Lakini mwisho wa Sikh Steve 2k aliuwawa alichomwaga kisuu alikuwa ugomvi yeye na meneja wakee badae john mjema nae alijiuwaa kwa kujichoma kisu kichwanii hili lilikuwa tukio LA kusisimuaaa bila kusahahauu.

Father g yule wa arusha yeye pia alichomwaga kisu akafaa kama unamfahamu alitoaga wimbo hii ni dhambi kwa mwenyezii ukienda YouTube utaukutaa.

Halafu ivi wimbo wa Mimi sio mwizi wa alikuwepo john mjema ivi naweza kuupata wapi
Sio father G Ni father Nell WA ngulelo
 
Hamna wa enzi za kina Rob One(R.I.P),beach party, ndege beach, Lang'ata(kipindi ukibaka sio kosa)? , Bon lov na studio zao msasani msikitini pale!?,mawingu studio,Kusaga akianza safari yake?, Gwm.... Mr 2 akishika pump ya mafuta pale maeneo, mmbunge wa mikumi akiwa tigo
 
D Rob Zomba (M.A.P)... KU-CREW wameachia wimbo mpya unaitwa REAL HIP HOP chini ya utunzi wa Brother Kibacha (KBC) na Brother Eazy B.. Anko Zavara Mponjika (Chief Rhymson) yupo Mbele.

Enzi hizo nakumbuka kulikuaga na ushindani kati ya KU-CREW na DIPLOMATZ ya kina SAIGON (OIIII OIIIII OIIIII)

HBC, kulikua na kichwa ki1 kinaitwa FANANI, Namkubali miaka mia hiki kichwa, mtu mmoja simple sana lakn UHAKIKA.

Sugu alipeperusha Bendera vema sana Marehemu Faza Nelly wa XPZ,

DJ BONNY LUV.. The best DJ, kautoa muziki mbali sana huyu brother, beach party 97/98 alikua anakiwasha kimeno meno.

Bring Back Our 90's
 
GWM walikuwa na song lao flaani cheza mbali na kasheshe .

Enzi za genstaz with matatizo hili kundi wazee walikuwa wanaliona kundi LA kihunii na mziki ulitafsiriwa na mziki wa wahuni
 
D Rob Zomba (M.A.P)... KU-CREW wameachia wimbo mpya unaitwa REAL HIP HOP chini ya utunzi wa Brother Kibacha (KBC) na Brother Eazy B.. Anko Zavara Mponjika (Chief Rhymson) yupo Mbele.

Enzi hizo nakumbuka kulikuaga na ushindani kati ya KU-CREW na DIPLOMATZ ya kina SAIGON (OIIII OIIIII OIIIII)

HBC, kulikua na kichwa ki1 kinaitwa FANANI, Namkubali miaka mia hiki kichwa, mtu mmoja simple sana lakn UHAKIKA.

Sugu alipeperusha Bendera vema sana Marehemu Faza Nelly wa XPZ,

DJ BONNY LUV.. The best DJ, kautoa muziki mbali sana huyu brother, beach party 97/98 alikua anakiwasha kimeno meno.

Bring Back Our 90's
Mkuu umemsahau kichwa kimoja kilikuwa kinaitwa SOS B alisomaga azaa boy huyu mshikaji alikuwa kichwa Sana.

Saivi nasikia ni branch manager wa akiba commercial bank
 
D Rob Zomba (M.A.P)... KU-CREW wameachia wimbo mpya unaitwa REAL HIP HOP chini ya utunzi wa Brother Kibacha (KBC) na Brother Eazy B.. Anko Zavara Mponjika (Chief Rhymson) yupo Mbele.

Enzi hizo nakumbuka kulikuaga na ushindani kati ya KU-CREW na DIPLOMATZ ya kina SAIGON (OIIII OIIIII OIIIII)

HBC, kulikua na kichwa ki1 kinaitwa FANANI, Namkubali miaka mia hiki kichwa, mtu mmoja simple sana lakn UHAKIKA.

Sugu alipeperusha Bendera vema sana Marehemu Faza Nelly wa XPZ,

DJ BONNY LUV.. The best DJ, kautoa muziki mbali sana huyu brother, beach party 97/98 alikua anakiwasha kimeno meno.

Bring Back Our 90's
Kundi LA HBC Kulikuwa na kichwa kimoja wanakiita wilee saivi mwana nasikia yupo states kuna siku procesa j alikuwa anamuelezea.
 
HBC kulikua na wakali wengi, sema walipotezwa na Nigga J, japo kiukweli wana walimzidi uwezo.. Hii ni kama The Wailers ya kina Bob, Bunny na Tosh.. Bob alipoteza wengine japo kimziki hakuwai kumfikia Tosh.
 
diamond67.PNG
 
Huyu jamaa alikuwa mkorofi sana na nashangaa sana jinsi alivyobadilika, si nasikia kipindi fulani waliwahi kumnyoa nywele kisa kawaponda kwenye video yao kipindi cha planet bongo
Maisha tu na umri ndo vinabadilisha watu, inafikia wakati mtu anaacha vita vya kupigana na watu anaanza kupigania maisha yake na uchumi wake
 
Back
Top Bottom