coscated
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 3,264
- 2,676
Aliyemuua steve 2k ni producer wake anaitwa Castro Ponela, alitoka kwa msamaha wa rais mwaka juzi kama sikosei.Yeah aisee lile kundi lao alikuwepo Steve k alikuwepo john mjema na spider man ,
Lakini mwisho wa Sikh Steve 2k aliuwawa alichomwaga kisuu alikuwa ugomvi yeye na meneja wakee badae john mjema nae alijiuwaa kwa kujichoma kisu kichwanii hili lilikuwa tukio LA kusisimuaaa bila kusahahauu.
Father g yule wa arusha yeye pia alichomwaga kisu akafaa kama unamfahamu alitoaga wimbo hii ni dhambi kwa mwenyezii ukienda YouTube utaukutaa.
Halafu ivi wimbo wa Mimi sio mwizi wa alikuwepo john mjema ivi naweza kuupata wapi
Huyo wa Arusha ni Father Nelly mzee wa ushanta na nini dhambi kwa mwenye dhiki.