Special Thread: Tujikumbushe matukio ya zamani ya wasanii wa Bongo Fleva

Special Thread: Tujikumbushe matukio ya zamani ya wasanii wa Bongo Fleva

Kuna moja Kalapina na wagumu wenzie walianzisha tamasha la hip hop yule teja wanamwita Chid benzi akajifanya anavamia jukwaa bila kupewa ruhusa alichezea kipondo toka kwa kalapina[emoji116]

Kalapina na Chidi wakiangalia sasa hivi hii video cjui wanajionaje... Wamezinguana hataree
 
hunifahamu aliutoa baada ya skendo ya demu,kama siyo Dodoma basi Moro
alikopa hakulipa dully akawa anapiga chenga
Ni demu wa shinyanga aliyezusha kuwa Dully kampa mimba alipoenda show huko Shy, ndipo Dully akatunga wimbo wa "Hunifahamu" kama kumkejeli
 
Zeyb sasa nipo gadoooo,gadooo mashahiri yamejaa kisadooo !! Sadoooo!!anaingia necha sasa hapo mhhhhmhhh no nechaaaa nenchaaa!!!
 
sa
Pina hajawahii kanyaga kipandee hiii kwakweliii maana chalii za Bronx walisemaa atachezeshewa vidaga mpaka aflot
sa hivi hafanyi tena maujinga yake na waliisha yajenga .ila fido kama bado bado huwaga anammaindi hivi.
 
Back
Top Bottom