PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Leah huo
Ndio huo huo. Nimeutafuta kwa muda mrefu sijaupata nafikiri hata Duly Sykes mwenyewe hana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leah huo
Alinunuliwa corola sijui na nani, akapata nayo ajali ule mteremko wa magomeni kwa macheni usiku wa manane, vibaka walifika fasta kufanya yao lakini kukuta ni malkia wa kipindi hicho hawakumfanya kitu bali kumsaidia. Alikuwa maarufu sana.Sinta a.k.a J.L wa bongo dah kweli tumeshazeeka sasa.
Kuna moja Kalapina na wagumu wenzie walianzisha tamasha la hip hop yule teja wanamwita Chid benzi akajifanya anavamia jukwaa bila kupewa ruhusa alichezea kipondo toka kwa kalapina[emoji116]
Ni demu wa shinyanga aliyezusha kuwa Dully kampa mimba alipoenda show huko Shy, ndipo Dully akatunga wimbo wa "Hunifahamu" kama kumkejelihunifahamu aliutoa baada ya skendo ya demu,kama siyo Dodoma basi Moro
alikopa hakulipa dully akawa anapiga chenga
Zeyb sasa nipo gadoooo,gadooo mashahiri yamejaa kisadooo !! Sadoooo!!anaingia necha sasa hapo mhhhhmhhh no nechaaaa nenchaaa!!!
sa hivi hafanyi tena maujinga yake na waliisha yajenga .ila fido kama bado bado huwaga anammaindi hivi.Pina hajawahii kanyaga kipandee hiii kwakweliii maana chalii za Bronx walisemaa atachezeshewa vidaga mpaka aflot
Fido ukichaaa umezidiiii naeesa
sa hivi hafanyi tena maujinga yake na waliisha yajenga .ila fido kama bado bado huwaga anammaindi hivi.
Anafanya bangi isiaminikeBangi anayotumia ni tofauti na wanayotumia wengine
😂😂😂😂Anafanya bangi isiaminike
Huyu jamaa sijui huwa ndumba zake anachanganya na nini?Bangi mbn tunasmoke au viroba.