Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)
Mimi nikawaza IST naweza ipata kwa shilling laki 5 [emoji23][emoji23] nahisi huwenda siyo hii thread mbona sioni nilichokitegemea
 
Ninunue kilikuu m10 never vigari vna engine kama ya boda boda kabsa
 
Picha ya min pajero?! Ungewek na terrios kid af fafanua hyo balance inalipwaje
 
Nnaml. 5 napata gari gani niPm plz
Toa location nikupe gari nzuri kabisa ya bei yako. Mkuu ule uzi wako wa kutafuta brevis na alteza niliona pia, lakini nilitaka nijue kwani nini umependa brevis alafu unajua brevis siyo latest car licha ya hivyo tu ukitaka kuja kuitoa itakuwa shida.
No one wants brevis. Mkuu nikushauri chukua hata premio C, Noah C iliyonyooka, Corola C, B hata A. Milioni 5 unapata izo gari zikiwa hazisumbui. At least kwa bajeti yako izo ndio gari wanazoweza kuendesha wanaume, achana na baby walker ractis na porte n.k 😊😊

Nicheki na uniambie uko wapi??
 
Toa location nikupe gari nzuri kabisa ya bei yako. Mkuu ule uzi wako wa kutafuta brevis na alteza niliona pia, lakini nilitaka nijue kwani nini umependa brevis alafu unajua brevis siyo latest car licha ya hivyo tu ukitaka kuja kuitoa itakuwa shida.
No one wants brevis. Mkuu nikushauri chukua hata premio C, Noah C iliyonyooka, Corola C, B hata A. Milioni 5 unapata izo gari zikiwa hazisumbui. At least kwa bajeti yako izo ndio gari wanazoweza kuendesha wanaume, achana na baby walker ractis na porte n.k [emoji4][emoji4]

Nicheki na uniambie uko wapi??
[emoji1][emoji1][emoji1] Niko Moro mkuu ila premio itapendeza WhatsApp +255 718 233 143
 
Toa location nikupe gari nzuri kabisa ya bei yako. Mkuu ule uzi wako wa kutafuta brevis na alteza niliona pia, lakini nilitaka nijue kwani nini umependa brevis alafu unajua brevis siyo latest car licha ya hivyo tu ukitaka kuja kuitoa itakuwa shida.
No one wants brevis. Mkuu nikushauri chukua hata premio C, Noah C iliyonyooka, Corola C, B hata A. Milioni 5 unapata izo gari zikiwa hazisumbui. At least kwa bajeti yako izo ndio gari wanazoweza kuendesha wanaume, achana na baby walker ractis na porte n.k [emoji4][emoji4]

Nicheki na uniambie uko wapi??
Vip kuhusu gari ndogo za mizigo?
 
Model 2003,
Eng 3s,
Automatic,
Cc 1980,
Full Ac,
Price 8M,
0677 818283

194312172_428484122189699_4511925855876421421_n.jpg
194337395_313805410423206_7253450430315010164_n.jpg
194952971_494930371753464_6381183383692519547_n.jpg
195283960_335896004618481_2229700356063150484_n.jpg
195295706_4027378980685227_3597634183618676575_n.jpg
195917422_1830577547120313_1076556513294501269_n.jpg
 
Toyota ist
Year 2009
Cc1490
Sports rims
New tyres
Full AC
Full documents
Price Tshs. 13.5ml
Contacts 0677 818283

193744425_2991213947790413_3831170929091317035_n.jpg
193767438_2991214047790403_1156569841722548193_n.jpg
193773427_2991214327790375_8452430864226742625_n.jpg
193800715_2991214017790406_3384823167609614614_n.jpg
194163571_2991213977790410_4662000052458643808_n.jpg
194317501_2991214197790388_2033486508016018964_n.jpg

194495694_2991214091123732_7923808014283376162_n.jpg
 
Back
Top Bottom