RealEstate Agent

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2020
Posts
244
Reaction score
321


Mbwewe barabara ya Tanga kabla ya kufika mkata
Mashamba kilomita
Kilomita 1 Kutoka barabara kuu ya lami : 250,000 kwa heka
Kilomita 3 Kutoka barabara kuu ya lami : 200,000 kwa heka
Kilomita 10 Kutoka barabara kuu ya lami : 100,000 kwa heka


MUHIMU : Unaweza kupata Kuanzia acre 10
Mpaka acre 500

Morogoro
1.Acre 68 za pamoja zinauzwa
Ndani Kuna Godown shamba la mitiki migomba na miembe
Bwawa la samaki na tank la maji
Bei milion 450

2😀akawa Morogoro Acre 600
Bei Milion 600

3:Maseyu acre 400 Bei milion 300
_________________________

Pwani_Dar
_________________________
1:Eneo linauzwa mail moja Kibaha acre 60 za pamoja (Mtaa viwandani)
Kutoka site mpaka kwenye lami dakika 3.tu
Eneo lina hati
_________________________
Maeneo bora kabisa kuwa makazi kupima viwanja kufuga &nk kibaha
1:Kwa mfipa acre 2 milion 30 kilomita 2 tu
2:Acre 1 kilomita 2:
Bei milion 15
_________________________
Miembe saba kibaha
1:Acre 4 kilomita 3.5 za pamoja zinauzwa milion 45.
2:Acre 4 za pamoja kuna mikorosho zinauzwa milion 50 kilomita 3.5
3:Acre moja Safi inaumeme maji kilomita 2.milion 20

Luguruni Mbezi

1:Acre moja milion 120
Kilomita 2:tu

1:Acre 4 za pamoja zinafaa kwa uwekezaji
Kilomita 3
Bei milion 160 Zipo kibamba
_________________________
Eneo kubwa acre 5 kibaha zina hati mita 90 tu kwenye lami
Bei milion 150 mazungumzo yapo (Kibaha kwa mfipa)
_________________________
Eneo la acre 4 za pamoja makurunge Bagamoyo
Zinauzwa mita 600 tu
Kutoka kwenye lami
Bei milion 15 zote umeme upo maji yapo
_________________________
Unahitaji kiwanja Bagamoyo tunakupa sio qmt tunakupa acre zima kwa milion 7 kilomita 3.5
Kiromo acre 6-za pamoja

Kilomo acre 3 zinauzwa milion 36 umeme upo maji yapo.
Kwa wapenzi wa farmhouse haya ndio maeneo yao
_________________________
Acre 20 za pamoja kibaha
Umbali mita 600 toka Morogoro road eneo lipo misugu sugu
Acre moja milion 20

Pia tunamashamba mpaka kilomita. 6
Morogoro road
_________________________
Msangani kibaha kilomita 7 acre 30 bei milion 5 kwa acre


MAWASILIANO 0677 81 82 83

 
Luguruni Mbezi eka 1 ni 120milion, kweli maisha yanabadilika.
 
Nyumba Kali sana ya kisasa inauzwa.
Nyumba ipo mbezi kwa yusuph. Kilomiter 4 kutoka morogoro road.
Nyumba ina vyumba 4 master bedroom moja kubwa Sana
jiko la kisasa la ndani na nje pia lipo.
Maji yapo.
Iko ndani ya fensi Ukubwa wa kiwanja sqm 1,000.
Bei milioni 120 (120,000,000)
mawasiliano 0677 818283


 
Hivi sisi ambao wazee hawakuweka kijiempire chenye connection ajira mwaka wa nane bila bila si inawezekana watoto wote wakazaliwa na kukua kwenye nyumba za kupanga?
 
Vyuma vilikuwa vimekaza sasa ni zamu ya vyuma kukazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…