INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba
Ndio utajua Watanzania akili ndogo sana 900 mil ni hela ya kutupa kwa Bagamoyo? .. Kwa acres 9? Hv ni kuwa ww mpost mada akili huna kabisa au tatizo lako shule hata kidogo hujaenda? And if you went to school, hujaewa elimu ni nini..
 
900m bagamoyo ni nyingi sana kwa wenye strategic investment......300m napata eneo Goba mbezi lenye hekari zaidi 6. 500m na jenga medium apartment 10, tena 50m naweka furniture na finishing nzuri 10m nazifanyia marketing then naziuza kwa 120m per unit
1.2bn ndani ya mwaka.
Kwanini niende uko kwote kisa eti karibu na Bahari nizike 900m,
Kila mtu na mipango yake,idea hazifanani,apo unaweka long term investment,beach unairemba vizuri kwa ,watalii kibao kila siku utawapata.ukifa watafaidi mpaka wanao na wajukuu
 
Ndio utajua Watanzania akili ndogo sana 900 mil ni hela ya kutupa kwa Bagamoyo? .. Kwa acre 9? Hv ni kuwa ww mpost mada akili huna kabisa au tatizo lako shule hata kidogo hujaenda? And if you went to school, hujaewa elimu ni nini..
heshima ni kitu cha bure..ungekaa kimya ungepungukiwa nini?
mpaka uanze kutukana watu
 
900m bagamoyo ni nyingi sana kwa wenye strategic investment......300m napata eneo Goba mbezi lenye hekari zaidi 6. 500m na jenga medium apartment 10, tena 50m naweka furniture na finishing nzuri 10m nazifanyia marketing then naziuza kwa 120m per unit
1.2bn ndani ya mwaka.
Kwanini niende uko kwote kisa eti karibu na Bahari nizike 900m,
mipango tunatofautiana..wewe umewaza hilo ila kuna mwingine ana wazo lake..
 
Kuna mchina haujapita mwezi kapigwa 600m beach plot msasani,kumbe open space,documented kila kitu,walijazwa askari sio wa dunia hii,defender Kama 6 hvi,beach plot labda nyamisati aisee
Mchina nae alikuwa hajielewi.Toka lini mgeni asiye raia wa Tz akauziwa eneo. Unless kwa ajili ya uwekezaji tu na approval yake lazima uipate TIC.....
 
Ndio utajua Watanzania akili ndogo sana 900 mil ni hela ya kutupa kwa Bagamoyo? .. Kwa acres 9? Hv ni kuwa ww mpost mada akili huna kabisa au tatizo lako shule hata kidogo hujaenda? And if you went to school, hujaewa elimu ni nini..
inaonekana thamani ya fukwe huhijui..ndio maana umekurupukaaa...
 
900m bagamoyo ni nyingi sana kwa wenye strategic investment......300m napata eneo Goba mbezi lenye hekari zaidi 6. 500m na jenga medium apartment 10, tena 50m naweka furniture na finishing nzuri 10m nazifanyia marketing then naziuza kwa 120m per unit
1.2bn ndani ya mwaka.
Kwanini niende uko kwote kisa eti karibu na Bahari nizike 900m,
Tafuta hela yako ndio ufanye yako.
wenzio wenye pesa zao ndio wanataka kununua huko.....
 
giphy.gif
 
Nyumba inauzwa ipo Pugu - Kigogo fresh
Nina shida ya haraka sana
Nyumba ina vyumba vinne viwili master
Ina dining sebule na jiko pia pamoja na public toilet
Nyumba ina fensi ya kumaliza tu..eneo la kutosha kupake hata gari 8
nyumba haipo mbali na barabara kuu ya lami ni mita 500 tu
Bei ni milioni 72.4 TU wahi sasa (hii ndo thamani ya nyumba haijaongezwa hata 100)
NJOO NA OFFA YAKO MAZUNGUMZO YAPO KIDOOOOOOGO
mawasiliano 0677 818283

Screenshot 2021-03-13 153119.png
Screenshot 2021-03-13 153148.png
Screenshot 2021-03-13 153205.png
Screenshot 2021-03-13 153229.png
Screenshot 2021-03-13 153244.png
Screenshot 2021-03-13 153300.png
Screenshot 2021-03-13 153314.png
Screenshot 2021-03-13 153327.png
Screenshot 2021-03-13 153345.png
Screenshot 2021-03-13 153359.png
 
Back
Top Bottom