It must be haunted. You cant sell this house at a cheaper price.
 
Haya jamani wauza matunda na karanga huko kariakoo na, fursa hiyo msiiachie. Mmeshaambiwa bei ya kutupa mshindwe wenyewe tu
 
JENGO LA GHOROFA LIKIWA NA NYUMBA NYINGINE NDOGO YA PEMBENI VYOTE UNAJICHUKULIA KWA MILIONI 160 TU
Jengo la ghorofa lina vyumba vitano wakati nyumba ya pembeni yake ina vyumba 3
Jengo lipo kimara mwisho km 2 kutoka stendi ya mwendokasi.

Eneo limesharasimishwa tayari.

mawasiliano 0677 818283

 
Ina vyumba vingapi na vingapi ni self contained.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…