Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Drone ikifanya yake. Hii ndege isiyo na rubani ya Ukraine ikihatibu vifaa vya Urusi. Tarehe 28 Februari 2022
 
Drone ya Ukraine ikifanya yake
 
Urusi ilivyo shambuliwa
 
Nimeangalia picha zote nilichoona ni propaganda tu , ki uhalisia mpka sasa Urusi ndio yuko upper hand lakini hapa naona kana kwamba wao ndio wamepoteza ilihali Ukrain washapoteza maeneo kibao , sasa which is which?
 
Magari ya Urusi yalikuwa Njani kuelekea Kyiv (Borodyanka).
 
Ilikuwa tarehe 03 Machi 2022 maeneo ya Nikolaev. Urusi ilipoteza sana vifaa
 
Tarehe 04 March
 
Tarehe 04 Machi 2022, Urusi walitelekeza Vifaa baada ya kupigwa Ambushi
 
Wananchi Wazalendo wa Kherson, walizuia Msafara wa jeshi wa Urusi.
 
Mkoani Poltava askari wa Ukraine wakitumia RPG dhidi ya Urusi. Frontline
 
Chopa ya Urusi ilivyotunguliwa tarehe 05 Machi 2022
 
Wanajeshi wa Urusi wakiwa wametekwa. Mmoja wao ni Rubani. Tarehe 05 Machi 2022
 
Before and after ya Convoy ya Urusi. Tarehe 06 Machi 2022
20220321_211427.jpg
 
Askari wa Ukraine waliopo Frontline viunga vya Kyiv
 
Tarehe 07 Machi 2022. Majeshi ya Ukraine yalifanya ambushi kwa magari ya Urusi yanaho sambaza mafuta Uwanja wa Vita.
 
Tarehe 10 Machi maeneo ya Zaporizhzhia, Walipoteza 2S19 Msta-S 152mm SPG (self-propelled howitzer) nyingi sana
 
Back
Top Bottom