Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Angalia msafara wa Urusi ulivyopigwa ambushi tarehe 10 Machi 2022
 
Vifaru na APCs tarehe 10
 
Hiyo milio ni risasi zilizokuwa ndani ya Kifaru cha Urusi
 
Jino kwa jino Kyiv
 
 
Magari ya Ugavi ya Urusi
 
 
 
Wananchi wa #Kherson, wakiandamana kupinga uvamizi.
 
Urusi walijifanya kuficha vifaa vyao Msituni. Angalia kilichowqpata. Ilikuwa tarehe 14 Machi 2022
 
 
Vita ni vita. Angalia hii Ambushi waliyopigwa Urusi
 
 
urusi ameteketeza sana miji ya ukraine, lakini ukweli usemwe, Ukraine pia imeteketeza vifaru vingi sana na vifaa vingi vya kijeshi vya urusi na imeua warusi wengi sana. huu ndio ukweli mchungu. vita wataashinda ila wamesafa kwelikweli. endapo kama wote wangekuwa na uwezo sawa wa kivita, urusi sasaivi angeshanyoosha mikono juu.
 
Ka-52 helicopter iliangushwa Nikolaev
 
 
Urusi wamejiingiza kwenye mtego wa Ukraine. Angalia wanavyotelekeza magari. Walijua mchezo. Tarehe 17 Machi 2022
 
 
Back
Top Bottom