figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #241
Tarehe 21 Machi 2022, Jeshi la Ukraine lilifanikiwa kuteka Vifaru aina ya 2S19 MSTA za Urusi, Mkaoni Mykolaiv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni habari mbaya sana kwa warusi[emoji16]Huyu ndo WALI, Mdunguaji au Sniper mwenye shabaha sana Duniani. Wanadai ana rekodi ya kuua watu 40 kwa Siku. Wali anaweza kukudungua Ukiwa umbali wa Kilometa 3. Yaani akiwa Magomeni anaweza akapatia Shabaha kwa mtu aliyesimama Kariakoo.
View attachment 2160155
Ni huyo huyo Idugunde the witch na Kamanda Asiyechoka walithibitishaHuyu bwana taarifa zinasema aliuawa ama sio huyu
Leo 22nd Machi 2022, Mwanajeshi wa Urusi kaamua kujisalimisha yeye na Kifaru chake aina T-72A. Inadaiwa kwenye kikosi chake kabaki mwenyewe.
View attachment 2160342
Leo march 22 Rais wa Ukraine anaomba msamaha hata jiunga tena na natoMkuu unalipwa bei gani?
Acha hizi propaganda,hazisaidii kituLeo tarehe 22 Machi 2022, Vikosi vya Ukraine vimefanikiwa kuteka Vifaru aina ya 2S19 MSTA maeneo ya Mykolaiv
View attachment 2160605View attachment 2160606
Acha hizi propaganda,hazisaidii kitu