Aisee we jamaa kweli ni hayawani.
Siwezi kuwa na mahaba kiasi hiki kwa kweli kwa hao watu weupe be it US au Russia na their allies. Hii vita ukweli usemwe chokochoko zote zimeletwa na wamarekani. Hayo ya kuchakazana wacha wauwane. Huwa tunasema waafrika ni wanafiki blah blah kibao...lakini ukweli wazungu ni wanafiki wa kipekee na washenzi. Nashangaa kwanini hoja za Urusi kwenye hili sakata zinafungiwa macho.
Inawezekana Urusi alii underestimate Ukraine, lakini vita lazima iwe ngumu kwa Urusi, hao si waarabu ni wazungu kwa wazungu na zaidi anasaidiwa na NATO kwa mgongo wa nyuma. Si sawa na vita ya Marekani dhidi ya Iraq/Afghanistan. Na civilian wakishakua upande wa serikali vita lazima iwe ngumu.