Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

BEFORE: Angalia Urusi walipojaribu kuingia Odessa kwa Mbwembwe na Mikwara🤣🤣
 
AFTER: Walipokaribia Odessa
20220324_083826.jpg
20220324_083314.jpg
20220324_083238.jpg
20220324_083236.jpg

20220324_083104.jpg

 
Hii Bendi ya Muziki ya Ukraine, wameamua kuingia Vitani. Ila tarehe 29 Machi 2022 wameahidi kufanya Show ya Muziki wakiwa Kyiv katikati ya Makombora. Wanasema hawaogopi Wavamizi. Itaruswa online. So kaeni tayari. Hawa ndo Ukrainian band Antytila sasa.
 
Angalia ile convoy ya Vifaru vya Urusi ilivyo shambuliwa na Ukraine

Nimewaelewa Ukraine. Wanawaacha kwanza Urusi wafike ndani ya 18🤣🤣🤣
 
Leo tarehe 24 Machi 2022, Warusi wamelia machozi ya damu.

Wakuu ona huu Mtego ulivyokuwa.

Warusi Walivamia Bandari ya Berdyansk iliyopo kusini mwa Ukraine. Waukraine wakajifanya hawana nguvu. Walipoteka hiyo bandari, Wakaanza kuleta Zile Meli zao landing warship Orsk zikiwa zimejaa Silaha. Ndipo Ukraine wakaanza kushambulia kwa Makombora ya mbali. Baada ya kuona Meli tatu zimetekelea ilobaki ikasepa kwa speed ya 4G. Zoom kuangalia Video

Siui kama itafika mbali
 
Bandarini Berdyansk Ukraine wakifanya yao. Ongeza sauti🤣
 
Hakuna Wanajeshi Waoga kama wa Urusi. Angalia Meli yao inavyokata maji baada ya kupona kwenye Ambushi ya Bandari ya Berdyansk. Wameamua kusepa.. Sasa hivi askari wa miguu wa Ukraine wanaelekea huko kufagia😂😂😂
 
Angalia bandariya Berdyansk Warusi wanavyo ipatapata.

Jeshi la Majini la Ukraine linawaangalia kwa mbali. Zoom kuona video Vizuri
 
Warusi wamedumu bandari ya Berdyansk kwa siku mbili tatu. Hii Video inaonesha Warusi Wakishangilia na kusifia kuingia na kuiteka bandari ya Berdyansk siku ya Jumanne tarehe 22 Machi 2022.

Meli za Urusi zikiwa zinashusha Vifaru vya Jeshi na Magari ya Jeshi. Leo meli zote zimepigwa Makombora, na hivyo Vifaru Vitaokotwa tu. Meli moja ilobaki imekata maji zaidi ya Nyangumi. Zilikuja meli nne, tatu zimekwenda na maji na Vifaa vya jeshi ndani. Ilokwisha shusha ikasepa..

 
Warusi wamedumu bandari ya Berdyansk kwa siku mbili tatu. Hii Video inaonesha Warusi Wakishangilia na kusifia kuingia na kuoteka nandari ya Berdyansk siku ya Jumanne tarehe 22 Machi 2022.

Meli za Urusi zikiwa zinashusha Vifaru vya Jeshi na Magari ya Jeshi. Leo meli zote zimepigwa Makombora, na hivyo Vifaru Vitaokotwa tu. Meli moja ilobaki imekata maji zaidi ya Nyangumi. Zilikuja meli nne, tatu zimekwenda na maji na Vifaa vya jeshi ndani. Ilokwisha shusha ikasepa..
View attachment 2162572
Putin kaishiwa mbinu
 
Bayraktar-TB2-Ukraine3.jpg

Wakuu Ukraine wana Drone aina ya Bayraktar TB2. Hizi Drone zinaendeshwa kwa Remote. Zina uwezo wa kubeba Mabomu Manne. Sasa jana tarehe 23 Machi 2022, zimetumika kusambaratisha Msafara wa Vifaru vya Urusi barabarani
 
Ona Msafara wa Urusi Ulivyobaki majivu. Huu msafara wa Vifaru vya Urusi ulikuwa unaelekea Mji wa Mariupol
 
Wananchi wa Ukraine wazuia na kuyarudisha yalipotoka magari ya Usambazi vyakula na maji Uwanja wa Vita ya Urusi. Walisema hamuwezi katika katikati ya Mji wetu kwenda kuwaua ndugu zetu.

Kuna wanajeshi wa Urusi jana hawajala😂😂
 
Back
Top Bottom