Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Zaidi ya siku 82 wameulinda mji wa Mariupol. Ilikuwa wakifikia malengo wanacheza muziki
Your browser is not able to display this video.
 
Azov bana🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Azov walijui kuichimba Mariupol. Hapa wakiwa wameunganisha Starlink kwenye handaki lao
Your browser is not able to display this video.
 
Picha ulizoweka hazionekani. Pia ni vizuri uandike kwa kirefu ueleweke. Man-portable air-defense systems (MANPADS) ni silaha iliyotumika na hii Helkopta iloangushwa ni ya Urusi aina ya Mi-28N attack helicopter yenye Mkia namba RF-13628. Kikosi cha National Guard kikitumia MANPADS Wilayani Elitne, Mkoani Kharkiv ndo waliidungua. Ni tukio la Wiki iloisha. Sababu picha hazijakaa vizuri, naziweka tena
 
Eye from the SKY, Picha ya Russian KA-52 inayodaiwa kupigwa na droni ya UkraineView attachment 2227706

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Hii sikujua kama iliangushwa. Iliangushwa lini? Ninachojua Drone ya Ukraine iliifuatilia tu haijailipua sababu kulikuwepo Wanajeshi wa Ukraine kwa chini. Hivyo ingeanguka ingesabisha majeruhi na vifo kwa Ukraine. Naomba ufuatilie Vizuri au unipe chanzo niangalie. Hii ndege juzi kulipuliwa sikuipata. Ndege tuliyolipua ni hii

Hii silaha jamaa aliyoishika ndo MANPADS
 
Acha kuwapanga watu humu...hao azov wako wanatibiwa na Russia..na hakina zoez lolote la kubadilisha wafungwa Kati ya hao azov na Russia...Leta ushahidi...na mamabs yanatowatoa yooote Yana nembo ya Z..no mabasi ya ukrane hayo?!...mbona wamesarenda..sicwalikuwa wamegoma ..woote wamedhoof bin Hali.... nguchiro tu hao..
 
URUSI Kuna moto katika Mtambo huko mkoa wa Novosibirsk Nchini Urusi.
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu kinachokuangaisha apa ni nini wewe nenda kwenye uzi wenu huu wa Uķrain tuachie sie acha mambo za kitoto mzee unakuwa kama mjinga bhana
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]shukrani kiongozi

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
kinachonisikitisha, ni watu au wamagaribi kuwaaminisha ukrain kuwa wanaipita na kuipa tabu russia, wakati miji kadhaa ya ukraine imekuwa magofu na russia maisha yanaendelea. westerners huwa wanachukua watu ubongo halafu wanabaki makopo, kwa zana ndogo tu, media.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…