Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Donbas. Huyu askari kavaa kamera ya GoPro kwenye kofia yake ya Chuma.

Hii Silaha ya grenade ni Matador ya Kijerumani
 
Mariupol: Urusi wameishiwa pumzi Azovstal. Wameanza kutumia Silaha za kemikali aina ya phosphorous dhidi ya Azov. Hii ni kinyume cha Maelekezo ya Jumuiya za kimataifa. Nasisi tukianza tusilaumiwe. Hii ilishapigwa marufuku sababu ni sumu inaua hadi panya na vipepeo achilia mbali binadamu. Urusi hiyo sehemu ni ndogo, nenda muwakamate kwa Mikono. Tatizo ni nini? Hadi simu? Sumu tukiimwaga Moscow si mtakufa mji mzima?
 
Urusi baada ya kusikia Uturuki wanakuja kuwasaidia Azov, wameanza kutega mabomu baharini, leo yameteguliwa
 
Msaada wa Bushmaster ya Australia ipo Donbas Ukraine.
20220516_183615.jpg
 
Tuwaombee Warusi wanaopigana Izyum, wanateketea. Sasa sijui wameenda kupigwa risasi huku🤣🤣🤣
 
Helkopta za Ukraine aina ya Mi-8, zinapiga misele Donbas tena kwa kujiachia na mwendo wa kunyata? Wanajiamini nini? Kuna jambo, Urusi watakuwa wamefifishwa
 
Zawadi imeachwa na Wavamizi. Tunategua tunaenda kuwatega mbele ya safari
 
Warusi wameishiwa Pumzi. Mabomu ya kutegwa ardhini yalipigwa marufuku, sababu yanaua wasiohusika. Mfano huko Cambodia hadi leo mabomu ya Ardhini ya Vita ya pili ya Dunia yanaua watu. Ukitega umetega. Ndo yule panya wa Sua alipeleka kunusa.

Anti-personnel landmines are prohibited under the Convention on the Prohibition of the Use, Stockpiling, Production and Transfer of Anti-Personnel Mines and on Their Destruction (or Mine Ban Convention), adopted in 1997.
 
Urusi wamechoka kuishi. Urusi wanapeleka hizi Iskanders katika mpaka wake na Finland kisa wamesikia wamataka kujiunga na NATO.
View attachment 2226924
Sasa badala wamalizane na Ukraine wanataka kwenda tena Finland? Atajikuta anapigana na nchi nyingi kwa wakati mmoja. Kwasbabu Sweden hatakubali atajua akitoka hapo anakuja kwake, kwa kuwa wapo mpakani atapigania hapo na kurudishwa kwake.
 
Helkopta za Ukraine aina ya Mi-8, zinapiga misele Donbas tena kwa kujiachia na mwendo wa kunyata? Wanajiamini nini? Kuna jambo, Urusi watakuwa wamefifishwa
View attachment 2227079
Kweli hawapo Aisee. Nimeona "Dogo" Wanaruka na chopa zao kwa kujinafasi. 🤣 Maana yake Mrusi mbabe nyang'anyang'a - Kha! Amekimbia au amejificha msituni kama kawa au ndo basI tena RIP😭 ??
 
Mariupol: Urusi wameishiwa pumzi Azovstal. Wameanza kutumia Silaha za kemikali aina ya phosphorous dhidi ya Azov. Hii ni kinyume cha Maelekezo ya Jumuiya za kimataifa. Nasisi tukianza tusilaumiwe. Hii ilishapigwa marufuku sababu ni sumu inaua hadi panya na vipepeo achilia mbali binadamu. Urusi hiyo sehemu ni ndogo, nenda muwakamate kwa Mikono. Tatizo ni nini? Hadi simu? Sumu tukiimwaga Moscow si mtakufa mji mzima?
View attachment 2226975
Ukraine walishmuonya kwamba ukijifanya unapiga nyuklia usifikiri utabaki salama nchi yako pia itabaki majivu. Hapo anasikilizia upepo na anajua madhara yake.Warusi hawatapendezwa na hii kwasababu wanajua watamwagiwa sumu na nyuklia iwapo Putin ataamua kufanya hivyo.

Sasa hivi baadhi ya makampuni makubwa yaafunga biashara zake na kuondoka Moscow, kwa mtazamo wangu na jinsi vita inavyoendelea wanaona kabisa inabisha hodi Moscow, hivyo wanajihami mapema kunusuru maisha na uchumi wao.
 
Back
Top Bottom