figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
- #1,941
Ndege ya Urusi aina ya fighter jet Su-30, au Su-34 imeangushwa. Ndege moja inauzwa $40-50 Milioni. Hizi picha ni za Mtandaoni za hizo ndege, Nikipata picha ya ndege ilodondoshwa nitaipost