Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Izyum. Eti Warusi wanajiona wajanja kwa kuchimbia Magarina Vifaru. Bila kujua tunawaangalia kutokea angani🤣🤣
 
Izyum Urusi wakipelekewa moto
 
Ndege za Ukraine ndani ya Izyum
 
Angalia Warusi. Walikuja Wazima, wanaikimbia Izyum wakiwa maiti na walemavu
 
Ndege ya Ukraine Izyum. Hii inamanisha kwamba mfumo wa anga wa Ukraine umeimalika. Urusi wajiandae kupigwa kotekote.
 
Hawa Warusi hatukukusudia kuwaua, Sisi tulipofika Izyum, tukawa tunakishambulia kifaru aina ya TOS-1A cha Urusi kilichokuwa kinaturushia makombora, hatukuju kama wao walikuwemo ndani. Urusi waje wachukue watu wao
 
Sniper akiwa kazini
20220516_144615.jpg
 
🤣🤣🤣
 
Jana Azov wamepelekewa Mzigo mpya. Hapa Wapiganaji wa Azov wanajaribu bunduki ya mashine nzito ya Amerika M2 inayojulikana kama "Browning" kwa Marekani wanaiita "Ma Deuce". Inatema risasi 450 kwa dakika ila ikipaslchikwa kwa Chopa, inatema risasi 750–850 kwa dakika.

Hapo nyuma nilipost picha ya Sniper akiitumia silaha hii Kharkiv
 
Back
Top Bottom