Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Huyu ni Mbwa anayemilikiwa na Azov.
20220518_140202.jpg
 
Hii drone sijawahi kuiona. Kubwa hivi? Au ndo jamaa kadai ni ndege ya Urusi? Inadawa hii ni drone ya Urusi, zilitengenezwa miaka ya 70. Inaitwa Tupolev Tu-141 Strizh. Imeangushwa huko Ukraine leo.
 
Vijana wanajiandaa kuwapiga Warusi
 
Gari ilijaa wakasomba weee
 
Urusi hawataki kumwambia ukweli Putin. So Wanajeshi wakifa wanaacha Uwanja wa Vita.
 
Hizi zawadi nilizowapa Urusi kwa Leo zinatosha. Nasubiri mtu mwingine aje na maneno ya dharau.

Picha hii ni Askari wa Urusi wakiwa wanaota jua. 🤣🤣🤣
20220518_165722.jpg
 
Leo kifaru cha Urusi aina ya MT-LBVM/K
 
Putin anaua vijana wake with a hopeless war, sheria za kijeshi zinaumiza sana, unaweza kutumwa kwenye mission amboyo uki survive unakuwa chizi
 
Hivi inakuje nchi inakua na mtu mmoja tu ambae anakua amebeba mstakabali wa taifa Zima? Inakuaje vyombo vya ulinzi na usalama vya Rusia kumuacha Putin ahalibu nchi yao kiasi hiki?Je nchi yao haiwaumi? Kwa Sababu mpaka Sasa hivi vyombo vya ulinzi na usalama vya Rusia vinajua kwamba NATO baada ya kuwafulusha wanajeshi wa Urusi ndani ya Ukuraine kifuatacho ni mwendo wa kumfata Putin ndani ya Moscow na kuja kufika huko moscow Kuna uhalibufu mkubwa utafanyika ndani ya Urusi ambao ni hasara kubwa kwa Taifa la Urusi.
Manake wanakubali kumwacha mtu mmoja ambae atahalibu nchi na kuipa hasara ambayo inaweza kuigalimu nchi hasara ya zaidi ya miaka 50 ijayo.

Sasa inakuje wanamwacha mtu mmoja kuharibu Taifa Zima je huu sio ujinga na upumbavu?
 
Back
Top Bottom