OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Inakuwaje raisi wa Ukraine anakubali nchi yake kugeuzwa magofu?
Hivi Wal mateka 900+ Urusi itawanyonga au kuwaacha huru?
Hivi Wal mateka 900+ Urusi itawanyonga au kuwaacha huru?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanataka wabadilishane wafungwaInakuwaje raisi wa Ukraine anakubali nchi yake kugeuzwa magofu?
Hivi Wal mateka 900+ Urusi itawanyonga au kuwaacha huru?
Achana na huyu. Anakuchota akili.wanataka wabadilishane wafungwa
ila mwanzo ilikuw maiti 3 za warusi kwa mwanajeshi 1 hai wa ukraine
Ahsante mkuu.Tuko pamoja sana, haya Mambo me huwa nashauri siku zote hekima na busara itumike kumaliza tatizo lasivyo inaweza kuleta visasi vibaya sana kwenye jamii baada ya watu kuhisi walidhulumiwa nafsi za wapendwa wao.Asante kwa kutoa elimu ya tahadhari na mfano hai. [emoji120]
Yaani zote zina vita ndo maana vita haiishi Africa kumbe kuna mbwa koko anawasupport dadeki......Mali,Sudan,libya,congo...etcEti Urusi inajivunia jeshi kutoka Africa. Kwamba hizi ni anazotoa msaada. Hivyo anabackup ya Africa
View attachment 2229981
Ukiona hivyo ujue mambo si mambo.anaongeza jeshi.putin anataka awatoe wanajeshi wake wote afrika wakapigane ukraine
hongera zaoHapa ni Kherkyiv. Ukraine wanasonga mbele
View attachment 2230137
Ukiona hivyo ujue anakaribia kuomba pooUkiona hivyo ujue mambo si mambo.anaongeza jeshi.
Ngoja tuone muda utaongea.Ukiona hivyo ujue anakaribia kuomba poo
Huenda wamepelekwa huko kulinda silaha zao zisije zikaingia mikononi mwa Russia na kuigeukia Ukraine, au ndio kutoa msaada ili kuikomboa Mariupol. Kuna kazi kubwa inaenda kufanyika. Macho na masikio yetu kungoja kitakachojiri.Hawa U.S. Marines na M777 wameletwa Ukraine. Je, wanataka kupelekwa Mariupol? Ndo kuna bahari
View attachment 2230460
Hivi mkuu kwa sasa resistance kubwa imebaki miji mingapi hawa mbwa wa urusi tuwakimbize kabisa.Hawa U.S. Marines na M777 wameletwa Ukraine. Je, wanataka kupelekwa Mariupol? Ndo kuna bahari
View attachment 2230460