Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

20220520_000840.jpg
20220520_000756.jpg
 
Hiki kikosi cha 95th Air Assault Brigade, itakuwa wote Makomandoo. Angalia
 
Huu mzigo wa Netherlands umeshafika Ukraine
 
Hawa watu wana ujuzi na uvumilivu wa hali ya juu wangekuwa ni wao Warusi sasa hivi ingekuwa habari nyingine.

Panic yao isingekuw ya kitoto na wangepigwa vibaya mno. Hata wao wanashangaa ilikuwaje.
Mhuuu
 
Kama ulipitwa na hii Video angalia tena. Hivi ndivyo Urusi walivyo poteza.
 
Back
Top Bottom