Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli ngoja tuone muda utaongea. Labda waamue kumuacha peke yake.Watanzania wengi ni wabishi sana mkuu Tena wanabisha bila facts .Hivi Urusi anawezaje kushinda vita dhidi ya NATO na USA? Nchi hizi ndizo zenye mifumo yote ya kuendesha uchumi wa Dunia Sasa una weza washinda kwa lipi?Hawa watu ndo matajiri wa Dunia na vita mala nyingi hushinda yule mwenye uchumi mkubwa Sasa kati ya USA na NATO dhidi ya Urusi nani ana uchumi mkubwa?
Ukweli ni kwamba Ukurein akisaidiwa na USA na NATO pia ndo washindi wa hii vita pia huu ndiyo utakua mwisho wa Putin Ikama Rais wa Urus,anaebisha atulie muda utampa majibu.
Wanajeshi ni Ukraine, Vifaa NATO. Nakuhakikishia Mrusi hachomoi. Ile Meli ya Marekani ilokuja jana tusaidiana kutafuta imetia nanga wapi. Au imeenda Uturuki. Imekuja na Navy Seal wa Marekani wale walomuua OsamaNi kweli ngoja tuone muda utaongea. Labda waamue kumuacha peke yake.
Lakini kwa ukiangalia kwa jicho la tofauti unaweza kuona hawa jamaa wanataka kumchosha Mrusi target yao uchumi wake uyumbe.
Sasa hivi wanaweka wazi kwamba wanajeshi wa Marekani wapo Ukraine na wanawasaidia Waukraine.
Wanajiamini nini hawa watu.? Wameshausoma mchezo wote.
Nilikuelewa, hapo niliongelea in general kwa mtazamo wangu kwamba anayepiga na kupigwa katika mazingira halisi yanakupa taswira fulani au kuwaza nje ya box.Ok,muda utaongea
Ila siko upande wowote
Ova
Kabisa mkuu.Vita ina mambo mengi.
Hapo ndipo kuna kazi hawa jamaa ni muziki mnene, kwanza hiyo training watakayoitoa kwa Waukraine itawapa motisha wa nguvu.Wanajeshi ni Ukraine, Vifaa NATO. Nakuhakikishia Mrusi hachomoi. Ile Meli ya Marekani ilokuja jana tusaidiana kutafuta imetia nanga wapi. Au imeenda Uturuki. Imekuja na Navy Seal wa Marekani wale walomuua Osama
Wameenda uani kidogo kujadiliana Mkuu. Ngoja warudi. 🤣Nimeambiwa Meli inaitwa Harpoon. Imefanya meli za Urusi zianze kuondoka black Sea. Pro Urusi muna neno?
View attachment 2232211
Aisee! Kwahiyo hapa wanamuonyesha kwamba zile meli zake hazina lolote kwa meli moja. Bahari nzima meli moja? Ni maajabu haya aisee.Hivi Black Sea bdo Bahari nyeusi? Basi kuna Meli ya Marekani imeletwa kulinda ili yasiyokee mashambulizi ya Urusi kutoea black sea. Imetengenezewa Automatic anti-ballistic missile system. Meli moja bahari yote. Si mchezo. Kumbe Mrusi mdogo tu. Anashindwa kuilipua?! Bado nafuatilia jinala meli ili tujue details zake
View attachment 2232203
Umeua hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wameenda uani kidogo kujadiliana Mkuu. Ngoja warudi. [emoji1787]
Hata kama ni mimi hapa ningekunywa maji kwanza halafu ndio niongee neno. Habari inashtua sana.Nimeambiwa Meli inaitwa Harpoon. Imefanya meli za Urusi zianze kuondoka black Sea. Pro Urusi muna neno?
View attachment 2232211
Sasa kwasababu kama hii ya msingi, iweje Russia aonekane ni mzuri, ameifanya dunia iwe na mfumuko mkubwa wa bidhaa kwa vita aliyoianzisha na bado akafunga bandari, kama adui yake ni Ukraine kwanini ataabishe wengine? Bado hapo hapo anaombwa kuungwa mkono, mhhh!