figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #2,241
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebo! Ndio. Cha kufia nini? Jamaa kalikoroga mwenyewe halafu ss anataka tufe kwa ujinga wake... Tunatelekeza mavifaru yake hapo halafu tunasepa au sio mjombaa.Putin mjinga sana aisee. 🤣 🤣Wataalam wa Vita wanakuambia kwamba ni pea ya BMP-1 IFVs, vifaru vya Urusi. Ni vifaru adimu. Madereva wanakatiwa mawasiliano, wanaamua kukimbia kwa miguu.
View attachment 2234532
Salaam Wakuu,
Hii ni Special thread ya Video na Picha kutoka Uwanja wa Mapambano Ukraine kwa Wanajeshi Waliopo Msitari wa Mbele. Hii thread inawahusu timu Ukraine. Picha zinahusu mafanikio ya Ukraine.
View attachment 2158105
View attachment 2157979
Mwanajeshi wa Ukriane akiwa na PG-7VM rockets
View attachment 2157991
View attachment 2158012
Hiki ni kipigo cha kwanza walichokipata Urusi. Misafara wa Urusi Ulikuwa unaelekea Ukraine. Magari yenye Maandishi ya Z ndo ya Urusi. Na Wanajeshi wenye alama ya njano kwenye bega ndo wa Ukraine
View attachment 2158022
NB: Video kama haija vizuri kwenye screen yako, ijaze kwa kuizoom.