Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ukraine wamekata kifaru cha Urusi aina ya MT-LB
 
Dogo katutengenezea video nzuri ya harakati za Msitari wa mbele. Ila Frontline saa nyingine raha. Isikupite hii Video
 
Hivi ndege kama hii naweza kubeba M777 howitzers ngapi? 🤣
IMG_20220522_054511_672.jpg
 
Angalia kikosi cha 79th Brigade kinavyo winda kifaru cba Urusi🤣🤣🤣
 
Wataalam wa Vita wanakuambia kwamba ni pea ya BMP-1 IFVs, vifaru vya Urusi. Ni vifaru adimu. Madereva wanakatiwa mawasiliano, wanaamua kukimbia kwa miguu.
View attachment 2234532
Ebo! Ndio. Cha kufia nini? Jamaa kalikoroga mwenyewe halafu ss anataka tufe kwa ujinga wake... Tunatelekeza mavifaru yake hapo halafu tunasepa au sio mjombaa.Putin mjinga sana aisee. 🤣 🤣
 
Oleksandr Zinchenko Mchezaji wa Manchester City raia wa Ukraine alivyoliza watu Uwanjani baada ya kupata Kombe
 
URUSI: Kamyanka, Mkoani Penza Mashariki mwa Urusi, moto Mkubwa unateketeza kiwanda kikubwa na hifadhi ya Mbengu za Alizeti na pamba. Asante LEGION
 
Salaam Wakuu,

Hii ni Special thread ya Video na Picha kutoka Uwanja wa Mapambano Ukraine kwa Wanajeshi Waliopo Msitari wa Mbele. Hii thread inawahusu timu Ukraine. Picha zinahusu mafanikio ya Ukraine.
View attachment 2158105
View attachment 2157979
Mwanajeshi wa Ukriane akiwa na PG-7VM rockets
View attachment 2157991
View attachment 2158012

Hiki ni kipigo cha kwanza walichokipata Urusi. Misafara wa Urusi Ulikuwa unaelekea Ukraine. Magari yenye Maandishi ya Z ndo ya Urusi. Na Wanajeshi wenye alama ya njano kwenye bega ndo wa Ukraine
View attachment 2158022

NB: Video kama haija vizuri kwenye screen yako, ijaze kwa kuizoom.

Kiongozi upepo umegeuka😀😀 vita ni vita mura.

Screenshot_20220521-162157.jpg
 
Back
Top Bottom