Hivi inakuje nchi inakua na mtu mmoja tu ambae anakua amebeba mstakabali wa taifa Zima? Inakuaje vyombo vya ulinzi na usalama vya Rusia kumuacha Putin ahalibu nchi yao kiasi hiki?Je nchi yao haiwaumi? Kwa Sababu mpaka Sasa hivi vyombo vya ulinzi na usalama vya Rusia vinajua kwamba NATO baada ya kuwafulusha wanajeshi wa Urusi ndani ya Ukuraine kifuatacho ni mwendo wa kumfata Putin ndani ya Moscow na kuja kufika huko moscow Kuna uhalibufu mkubwa utafanyika ndani ya Urusi ambao ni hasara kubwa kwa Taifa la Urusi.
Manake wanakubali kumwacha mtu mmoja ambae atahalibu nchi na kuipa hasara ambayo inaweza kuigalimu nchi hasara ya zaidi ya miaka 50 ijayo.
Sasa inakuje wanamwacha mtu mmoja kuharibu Taifa Zima je huu sio ujinga na upumbavu?