Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hivi mkuu kwa sasa resistance kubwa imebaki miji mingapi hawa mbwa wa urusi tuwakimbize kabisa.
Bado mikoa mitatu. Donbas Luhansk na mwingine wa Donetsk. Ila sehemu ambapo Urusi wamejiimalisha sana ni Donbas. Na Donetsk.
 
Kuna meli imetoka base ya Norfolk kwenye bandari ya Mizigo ya Lewis and Clark-class . Imeelekea Ukraine. Je, itatia nanga wapi?
Mariupol au Odessa? Je, Mrusi atailipua?
 
Tulikamata kwanza mawasiliano ya redio ya nde ya Urusi aina ya Su-34iliyopigwa kombora katika mkoa wa Kharkiv leo. Rubani wa Urusi alikuwa anahaha.
View attachment 2230020
REKODI MBOVU YA SU-34

On 28 February 2022, at least seven Su-34s were reportedly spotted in the Kharkiv region of Ukraine.[84] On 1 March 2022, one Su-34, tail number Red-31 with registration number RF-81251 was shot down near Kyiv.[85] belonging to the 3rd Combat Regiment of the Russian Air Force.[86] On 5 March another Su-34, tail number Red 24, registration number RF-81879 was shot down by Ukrainian forces near Chernihiv at 11:30. Both pilots ejected. Ukrainian forces captured the pilot; the co-pilot died.[87][88][89] Another one was lost the same day near Vyhovtsi, Khmelnytskyi Oblast. One of the pilots died.[90] The next day a Su-34 was shot down by Ukrainian air defenses, crashed near Kharkiv, one of the pilots was captured.[91] The wreck of the aircraft showed the registration number RF-95070.[92] On 14 March, images of the remains of Russian jet fighter are reported near Chernihiv, later the craft was identified as the remains of a Su-34 Red 35 of registration number RF-95010.[93][94] On 25 April A Russian Su-34 is recorded in video doing a flat spin and crashing into the ground in a Kharkiv, Ukraine. Both pilots were recording bailing out the craft with their parachutes.[95][96] The next day another Su-34 bomber, registration number RF-95858 - Red 43, was shot down by Ukrainian forces near Zaporizhzhia.[97]

credit: Sukhoi Su-34 - Wikipedia


Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, tusaidia kutuwekea kwa kiswahili kwa ufupi. Hili jukwaa la picha na Video. Just caption. Asante.

Tusimuache nyuma mtu yoyote. Kila mtu ajue kinachojiri
 
Mnara wa ukumbusho wa Alexander Nevsky umebomolewa huko Kharkiv. Anahusina na mambo ya dini ya Orthodox. Alikuwa na Asili ya Urusu kwa ulinzi wa Kanisa la Urusi na ardhi ya Urusi. Mambo ya wakina Daudi. Tuachane na hizi mada za dini. Ila Ndo Ukraine hawamtambui tena. Sihajua kama na kanisa lake watalibomoa
Your browser is not able to display this video.
 
Urusi ana pride za ajabu bora raia wake wafe ila hatawaachia hao jamaa
 
Mimi kilichonishangaza ni ile sehemu kuwa na Wanajeshi 2000. Ndo Maana Urusi walikuwa wanaogopa kuingia kwenye handaki. Na mabomu hayawafikii. Mabomu yamepigwa siku 82 wametoka majeruhi 52 tu?
Hawa watu wana ujuzi na uvumilivu wa hali ya juu wangekuwa ni wao Warusi sasa hivi ingekuwa habari nyingine.

Panic yao isingekuw ya kitoto na wangepigwa vibaya mno. Hata wao wanashangaa ilikuwaje.
 
Shida iliyotokea na kuwaudhi Ukraine ni kwamba kanisa la Orthodox nchini Urusi na viongozi wake wameside na Putin.

Hata Pope aliwanyooshea kidole kwamba wako against na kitu wanachokihubiri, kanisa vipi liunge mkono mauaji badala ya kukemea.

Nakuunga mkono mkuu mambo ya dini tuachane nayo nilikuwa kidogo natoa ufafanuzi jinsi nilivyofuatilia taarifa.
 
Hawa watu wana ujuzi na uvumilivu wa hali ya juu wangekuwa ni wao Warusi sasa hivi ingekuwa habari nyingine.

Panic yao isingekuw ya kitoto na wangepigwa vibaya mno. Hata wao wanashangaa ilikuwaje.
Mrusi anashangaa kwa kuwa alijiona yy ndiye papa pekee avumaye baharini na kusahau kwamba kumbe na wengine wapo pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…