Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Washaweka sheria ya kuanza chukua wenye zaidi ya 40 kupigana
Siyo hivyo tu na raia wa kigeni ambao wako Urusi wanatakiwa kwenda jeshini ili wakapigane. Sasa hapa sijui watalazimishwa au itakuwa kwa hiari?

Ina mana jeshi lake limepungukiwa na wapiganaji au vipi, wastaafu wanaweza kuwa ni experienced personnels, je hawa raia wa kigeni,kama wakilazimishwa watakuwa na uzalendo kweli kupigana vita isiyowahusu?

Bado ninawaza hapa [emoji848][emoji848]
 
Wakuu, hii vita sio ya Urusi bali ya Putin na Viongozi wa jeshi. Ndo maana vita haina bajeti wala Federation Council haijapitisha. Putin ana nguvu sana Urusi. Anaamua atakacho bila hatabkufuata katiba.
 
Wakuu, hii vita sio ya Urusi bali ya Putin na Viongozi wa jeshi. Ndo maana vita haina bajeti wala Federation Council haijapitisha. Putin ana nguvu sana Urusi. Anaamua atakacho bila hatabkufuata katiba.
Hii ni mbaya sana itamcost sana.Lakini kabla hajavamia Ukraine Wabunge walipitisha azimio la operation na kumuunga mkono, hii ilimaanisha nini?

Pili,ukisema Putin amevamia Ukraine na kupigana vita kuna sheria imetungwa unafungwa maisha wewe ni msaliti, unatakiwa useme ni Operation, sasa nani katunga hii sheria?

Warusi wanaishi maisha magumu sana nchini mwao kumbuka wana internet yao mambo mengine hawayajui yanayoendelea huko duniani.
 
Kule utaenda kwa lazima utake usitake. Na unawekwa frontline
 
Kule utaenda kwa lazima utake usitake. Na unawekwa frontline
Mwili wako unauweka rehani kwa ajili ya vitu vusivyo kuhusu. Ndio maana sisi watz hatushadadii kuzurula nchi za watu saa nyingine ni mateso tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…