Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Yaani Wakuu, Msisikie sijui Urusi wanasonga mbele, ni kwamba Wanawatoa Kafara wanajeshi wao na wanapoteza Vifaa vingi. Yani watu tunaua na kuharibu hadi tunachoka. Wanazidi kuja tu. Hii Vita ikiisha mtasikia Warusi walouawa. Mfano leo wamekufa Warusi zaidi ya 200. Hadi naona huruma.
 
Kuna Vifaru vilivyo tumika Syria na Libya, Vinaletwa Ukraine. Na vyote vitateketezwa. Vile vya kwanza vilivyoletwa Donbas tushavimaliza, wanaleta Vingine🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hawa walikuwa wanajaribu kuvuka mto. Wakashindwa. SOF ya Ukraine wakawapelekea moto
Your browser is not able to display this video.
 
Jana LEGION Walilipua hili kanisa. Wanadai wanatumikia Serikali na Wamefungamana na Serikali. Tangu Vita ianze hawajawahi kulaani wala kukemea. Ni Viongozi wa Urusi wanasali hapo.
Your browser is not able to display this video.
 
Hawa jamaa wakishasema hureeee!! Hawajali tena uhai wao wanakuja hata kama kikosi kizima kitaisha huoni makamanda wao wakisikitika, sijui mpaka sasa hivi ndio upiganaji wao au wameshabadilika !!
 
Duh, Urusi yupo kwenye hatari ya kupoteza wanajeshi wengi ila ndo aibu mzee Putin hawezi kukubali kishindwa leo kwa aibu ya kukurupuka.

Huku kitanzi cha vikwazo nakadhalika lazima atie adabu tu hakuna namna.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]huyu mwamba alikua miyeyusho. Upo frontline na smartphone 3 mixer Kitochi...

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Hizo simu 3 zote kaiba ukute kitochi ndio chake... Jamaa wameiba vtu vihi vya kawaida saana... washing machine, simu, laptop, Jewels Hadi nguo.

Maskini tu wale...yaani SOJA wa USA aibe simu? Wakati mshahara million 19 monthly?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…