Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Tunawapelekea moto
Your browser is not able to display this video.
 
Hawa Watu walikutwa na Wanajeshi wa Urusi kwenye supermarket ya Mariupol, Wakauliwa wote. Hamna mwanajeshi hata mmoja hapa. Warusi wakiwa Frontline wanaua kila mtu. Ndo wanaotetea Waruso wajue wanatetea nini. Warusi wanaua wazee na Watoto, muhimu kwao ni kama ni Raia wa Ukraine. Ukishasema ni raia wa Ukraine wanakuua. Ndo maana nasimama na Ukraine.
 
Hiki kifaru tumekikuta kipo loaded. Tuneamua kukitumia dhidi yao
Your browser is not able to display this video.
 
Wanajeshi wa Urusi hawana Morali ya Vita kabisa. Kushambulia makombora mawili tu, wanatelekeza vifaru na kukimbia. Angalia mzigo wote huu wameuacha tukajiokotea🤣🤣🤣
View attachment 2242333

Hakika nyie Warusi damu zisizo na hatia mnazomwaga hazitawaacha salama.
 
Afu kuna watu wanasema Urusi inajua kupigana
 
Slava Ukraina nipo zanzibar hapa ninaishi geto Moja na mwanangu mkimbizi toma Ukraine.

I feel their Pain and suffering.

Slava Ukraina ndio Salam yangu na huyu mwana kila asubuhi.
Dah! Pole na wewe maana hali anayoipitia hata wewe unaifeel, mpe pole na kumtia moyo vita iko siku itaisha.

Vita mbaya sana iskieni tu.
 
Tunasonga mbele.
Your browser is not able to display this video.
 
Mariupol: Urusi wameanza kuiba chuma cha Azov. Wameleta meli inabeba Chuma chote kilichopo Azovstal. Urusi wezi sana.
Your browser is not able to display this video.
 
Tunasepa na Kijiji. Wametelekeza kifaru, tumekichukua sasa tunawakimbiza. Warusi hawana chao Ukraine. Ni wavamizi tu.
Your browser is not able to display this video.
 
Mariupol: Urusi wameanza kuiba chuma cha Azov. Wameleta meli inabeba Chuma chote kilichopo Azovstal. Urusi wezi sana.
View attachment 2244441
Dah! Laiti kama wangetundikwa "drip" hapo-hapo ingependeza sana yan au hiyo meli iking'oa nanga tu inapotezwa kabla haijafika mbali na mzigo wa wizi. 😳 Wizi haukubaliki; Wizi ni dhuluma.
 
Dah! Laiti kama wangetundikwa "drip" hapo-hapo ingependeza sana yan au hiyo meli iking'oa nanga tu inapotezwa kabla haijafika mbali na mzigo wa wizi. 😳 Wizi haukubaliki; Wizi ni dhuluma.
Mimi namlaumu zelensky alowaambia Azov wajisalimishe. Wao walitka walinde kiwanda mwanzo mwisho. Pale kuna utajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…