Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hawa Watu walikutwa na Wanajeshi wa Urusi kwenye supermarket ya Mariupol, Wakauliwa wote. Hamna mwanajeshi hata mmoja hapa. Warusi wakiwa Frontline wanaua kila mtu. Ndo wanaotetea Waruso wajue wanatetea nini. Warusi wanaua wazee na Watoto, muhimu kwao ni kama ni Raia wa Ukraine. Ukishasema ni raia wa Ukraine wanakuua. Ndo maana nasimama na Ukraine.
View attachment 2243435
Hii vita ndo maana US hataki mpa Ukraine silaha za mbali ndani ya Urusi maana Ukraine atalipiza kisasi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Warusi watakoma. Huu mzigo unatengenezewa Ukraine sio kwamba tumeagiza. Hii ni Mi-8MSB modernized toleo la classic Mi-8 helicopter.
IMG_20220531_172044_225.jpg
IMG_20220531_172040_914.jpg
 
Kikosi cha 110th Separate Territorial Defense Brigade cha Ukraine, kimezima Uvamizi wa Urusi Mkoani Zaporizhzhia
20220601_160906.jpg
20220601_160904.jpg
20220601_160900.jpg
20220601_160858.jpg
 
Ukraine wamejiokotea kifaru cha Urusi aina ya BMP-2 infantry fighting vehicle
20220601_161118.jpg
20220601_161116.jpg
 
Hiki kifaru ni aina gani?
 
Freedom of Russia" Legion, wamwka. Wamekamata kifaru cha Urusi
 
Back
Top Bottom