Hapa ni Severodonetsk. Hiki ni kikosi cha Wanajeshi waliokuja Kujitolea Ukraine. Wanaitwa International Legion. Wapo fit balaa. Ila mimi naona Vita ya Mjini kwenye majengo ni ngumu kuliko ya Msituni. Hawa wapo Frontline
Hapa ni Rubizhne. Urusi walipozidiwa wakatelekeza Vifaru na kupanda gari ndogo wasepe. Ikabidi Wasindikizwe na RPG. Wote wamekufa. Urusi Wakizidiwa wanapanda V8 na kusepa. Popote walipo nyuma kuna V8 za kutosha.