Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kwenye Hii picha ya 22nd Jun 2022, Wavamizi 20 wamekufa kwa Kombora moja. Warusi wanakutana na moto ulao🤣🤣. Wangetulia kwao Urusi, hayayasingewakuta
20220623_080505.jpg
 
Yaani Warusi wakikamatwa wanatia huruma. Huwezi amini kama ndo hawa wanashinda Mtandaoni kutukana watu. Wanatakiwa wapasuliwe vichwa
 
Hii inaruhusiwa. Urusi wametuomba ruhusa ili wabebe maiti zao, ndo maana unaona wameshika bendera Nyeupe. Masaa matatu wawe wameondoka ili tuendelee na Kupiga wavamizi. Wakichelewa muda walopewa Kombora linawahusu
 
Back
Top Bottom