Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi: Ndege ya Mizigo ya jeshi la Urusi aina ya Ilyushin Il-76, imeanguka na kulipuka moto wakati inatua Mjini Ryazan ikiwa na watu 10 ndani. Je Silaha zilikuwa zinatoka wapi?
airplane-generic-650_650x400_41441776733.jpg
il-76td-large_tcm36-3568.jpg
 
Hapa ni Marinka, mkoani Donetsk. Angalia kifaru cha Urusi kinavyokuwa tracked
 
Warusi wakiwa njiani kwenda kuikamata Kyiv ndani ya siku mbili. Hahahaaaa...!!
 
Urusi Wakikamatwa wanakuwa wadogo kama piriton. Hadi huruma, Ila ukiwakuta mtandaoni sasa wanavyochonga maneno. Hapa wanaimbishwa wimbo wa kuisifia Ukraine na Kumsifai Zelensky
 
Kundi la Wanajeshi wa Ukraine waliokuwa Frontline wakirudi mapumziko kutoka mkoani Severodonetsk. Wapo hoi. Frontline si mchezo
View attachment 2270415
Nasikia wameamuliwa kutoka wote ndani ya huo miji wa Severodonetsk je ni mbunu ya kijeshi au vipi lakini akili yangu inaniambia labda ni mbinu ya kijeshi labda wanataka kutumia silaha nzito kuhalibu jeshi la Urusi.
 
Back
Top Bottom