figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #3,141
Nasikia wameamuliwa kutoka wote ndani ya huo miji wa Severodonetsk je ni mbunu ya kijeshi au vipi lakini akili yangu inaniambia labda ni mbinu ya kijeshi labda wanataka kutumia silaha nzito kuhalibu jeshi la Urusi.Kundi la Wanajeshi wa Ukraine waliokuwa Frontline wakirudi mapumziko kutoka mkoani Severodonetsk. Wapo hoi. Frontline si mchezo
View attachment 2270415