figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #3,201
KweliHuyu Jamaa wamnyang'anye drone zetu. Kamiss target za maana kama 4 jana
View attachment 2270773
Nimeona kuna marubani vita wa Ukraine wako Capital Hill....Wabunge wa Marekani waliwasilisha mswada kuhusu mafunzo kwa marubani wa Ukraine.
Sasa Marekani kuanza kutoa mafunzo kwa marubani na wafanyakazi wa Ukraine kwenye F-15, F-16 na ndege nyingine.
View attachment 2270914
Ndo maana wachambuzi wanasema hii vita Urusi hatoboi, hapo kabakiza missiles tu na nukesVimeharibikwa na kutekwa. Ndo maana kila siku treni inaleta Vifaru. Vingine tunajiokotea
Wee umerogwa au unatafuta bahasha wa kukufire , unatafuta nini umu ndani page za machoko wenzio je huzioni ama unaleta shobo apaUnaambiwa ukrain wamepigwa na mrusi huko mpaka wakaambiwa kimbieni muwaachie mji mtakufa......!
Embu tuambie wamechukua miji gani mkurungwa tufahamishe iyo miji waliyochukua mzee wanguSafi napenda hivyo....maana miji wanazidi kuchukua huruma ya nini ua....aaaaah.!!!
Wapo Wananchi wa Urusi wataanza kuhoji faida za Vita ambazo Urusi wanapata. Minong'ono ishaanza ya Wananchi wa Urusi Washaanza migomo ya chini kwa chini. Dunia haitamuacha Ukraine apigwe.Ndo maana wachambuzi wanasema hii vita Urusi hatoboi, hapo kabakiza missiles tu na nukes
Hapa mkuu nifafanulie vizuri zimechange kivipi na ilikuwaje hayo majaa yakashambuliana yenyewe?Vitani kuretreat ni jambo la kawaida. Wanarudi nyuma kujipanga ili wavamie upya. Sehemu tumezirudisha baada ya kuretreat. Ila Wakuu, hizi HIMARS, zimekuja kubadilisha game kwenye hii Vita. Hadi Jana Urusi wameshambuliana wenyewe kwa wenyewe. Na wameuana. Wamepambana masaa sita wenyewe kwa wenyewe.
View attachment 2270719
Akatwe kichwa tuHuyu dogo wa Urusi katekwa na LEGION. Hajafikisha miaka 18. Mjadala ni asamehewe au akatwe kichwa?
View attachment 2271013