Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

IMG_20220625_001643_500.jpg
 
Hawa Wafuasi wa Urusi wanajifanya kunitukana. Naweza weka picha Wanajeshi wao wakifanyiziwa hadi kukojolewa. Huwa naweka picha za kistaarabu ili nisiwamuze moyo. Wafuasi wa Urusi wanaamini Askari wa Urusi hawafi.
 
HII VITA NI YA KI UWENDA WAZIMU , TOP DECISION HAZIKU CHECK FEASIBILITY IMPACT TO THE NATION , YAANI DAH KWELI MIAKA 60 NDO MIAKA KUSTAAFU ZAIDI YA HAPO MADHARA YAKITOKEA HAKUNA KULAUMIANA
 
Unaambiwa ukrain wamepigwa na mrusi huko mpaka wakaambiwa kimbieni muwaachie mji mtakufa......!
Wee umerogwa au unatafuta bahasha wa kukufire , unatafuta nini umu ndani page za machoko wenzio je huzioni ama unaleta shobo apa
 
Vitani kuretreat ni jambo la kawaida. Wanarudi nyuma kujipanga ili wavamie upya. Sehemu tumezirudisha baada ya kuretreat. Ila Wakuu, hizi HIMARS, zimekuja kubadilisha game kwenye hii Vita. Hadi Jana Urusi wameshambuliana wenyewe kwa wenyewe. Na wameuana. Wamepambana masaa sita wenyewe kwa wenyewe.
View attachment 2270719
Hapa mkuu nifafanulie vizuri zimechange kivipi na ilikuwaje hayo majaa yakashambuliana yenyewe?
Ingawa nafurahi sana yakishambuliana.
 
Back
Top Bottom