figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #3,221
Urusi wanashindwa kukusanya maiti zao halafu wanadai hawajulikani walipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anzisha tu uzi wako. Au hujasoma title ya huu uzi?
Punguza kihele Hele mkuu unaweza fungua uzi wako upost uo ujinga wako
Sitakuwa wala ruhusu mwanangu awe mwanajeshi, labda iwe kwa lazima kwamba nchi yetu imevamiwa na sina uchaguzi
MIA ni KIA kwenye vitaUrusi wanashindwa kukusanya maiti zao halafu wanadai hawajulikani walipo
View attachment 2271990
Andaa uzi wako, huu unahusu mambo ya Ukraine tu, tena yaliyofanyikwa kwa UrusiMengine Huwa huyaoni ee ahahaView attachment 2272043
Mkuu, nahisi hujaelewa sehemu ya kupost huu ujinga. Hii thread sio ya mashindano ya Urusi na Ukraine, bali ni mafanikio ya Ukraine kwenye hii Vita. So kama hiki ulichopost ni mafanikio ya Urusi, ulitakiwa upost kwenye Uzi wa Urusi. Haya mambo ukipost hapa, unaonekana mjinga au umepost bila kusoma title.Mengine Huwa huyaoni ee ahahaView attachment 2272043
Unakusa Frontline kuna Vikosi tofauti kutoka Batalioni tofauti. Donbas Ukraine aliretreat, wakabaki wao, niliambiwa wameuana 70 kwa 90. Waliokufa 90 Wakaretreat. Waliobaki Ukraine ikawazidi nguvu nao wakareteeat Sloviansk. Urusi walikufa 1300 WakaretreatHapa mkuu nifafanulie vizuri zimechange kivipi na ilikuwaje hayo majaa yakashambuliana yenyewe?
Ingawa nafurahi sana yakishambuliana.
Hahahaaa... Ipo mingi.. Hata nipost wiki nzima mizoga sitoimaliza. Highlight tu tufanyeMkuu muanzisha uzi leo tupostie mizoga tuu! Tuinjoi kuangalia nyama za hawa wavamizi