figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
- #3,261
Hivi ulishajifikiria ni nini kinatokea hadi Mrusi anyang'anywe Kifaru? Jua kuna watu wasiopungua 7 wamekufa.. Wengine wanakimbia wanakiacha kifaru
Acha ujinga wa kupangia watu kitu cha ku-post ilihali uzi sio wa kwakoPunguza kihele Hele mkuu unaweza fungua uzi wako upost uo ujinga wako
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app