Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Your browser is not able to display this video.
 
Mengine Huwa huyaoni ee ahahaView attachment 2272043
Mkuu, nahisi hujaelewa sehemu ya kupost huu ujinga. Hii thread sio ya mashindano ya Urusi na Ukraine, bali ni mafanikio ya Ukraine kwenye hii Vita. So kama hiki ulichopost ni mafanikio ya Urusi, ulitakiwa upost kwenye Uzi wa Urusi. Haya mambo ukipost hapa, unaonekana mjinga au umepost bila kusoma title.
 
Hapa mkuu nifafanulie vizuri zimechange kivipi na ilikuwaje hayo majaa yakashambuliana yenyewe?
Ingawa nafurahi sana yakishambuliana.
Unakusa Frontline kuna Vikosi tofauti kutoka Batalioni tofauti. Donbas Ukraine aliretreat, wakabaki wao, niliambiwa wameuana 70 kwa 90. Waliokufa 90 Wakaretreat. Waliobaki Ukraine ikawazidi nguvu nao wakareteeat Sloviansk. Urusi walikufa 1300 Wakaretreat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…