figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #3,241
Sawa mkuu fanya ivyoHahahaaa... Ipo mingi.. Hata nipost wiki nzima mizoga sitoimaliza. Highlight tu tufanye
Bado kukuchukua wewe tuLuhansk sijui kumetokea nini, 50% ya Sehemu tuliyowapokonya Warusi wameirudisha.
Hahahaa... Kufa hadi Mungu apende.. Uzuri hapa wamekufa wanajeshi nane tu majerihi 13. Wanajeshi walikuwepo 1800Bado kukuchukua wewe tu