Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ila kwa uhalisia pale Snake Island hakuna atayeweka makazi ya kudumu, pale pa moto sana. Na pia Urusi ana faida sababu ya submarines zake zaweza tumika angamiza lile eneo
Mkuu Ukraine sio Mnyonge.. Submarine zishaondoka tangu Jumamos, ndo maana zaweza lipuliwa muda wowote. Labda mimi ndo sijui, naomba Location ambapo Meli ya Urusi inaonekana karibu na snake Island. Hata HIMARS zimeshahamishwa sababu hakuna tishio tena. Pale Odessa kuna mzigo unalinda bahari. Ndo maana tangu Vita ianze, Odessa haijashambuliwa Zaidi ya mara 5. Wanaishia kuharibu makazi ya watu sababu mtambo unalindwa sana.
 
Wakuu, kuna hawa watu wamekuja kututoa kwenye reli. Sitachoka kupost kutuhusu frontline, na wao wapost kwenye thread inayowahusu kuhusu frontline yao. Simple. Uzuri tangu naanza kupost sijawahi shindanisha majeshi bali napost kuhusu mafanikio yetu. Tatizo lipo wapi?
 
Mkuu hii Mifumo ya ulinzi wa anga ni muhimu sana kwa sasa ambapo Urusi kazi yake ni kushambulia kutokea mbali. Wakimdhibiti itakuwa kakosa kitu kikubwa sana sijui kwanini hata wanachelewa hivo.
 
Tupe upadates achana na watu wasio na akili.
 
Huyu Mrusi kafa na Camera Mkononi. Sasa hivi ni kuwashitukiza tu. Hawa wa vyeo vya juu ndo malengo yetu. Piga mchungaji kondoo watawanyike.
 
Azov wakibahatika kumkamata Mrusi, wanakata kichwa. Wanahasira balaa. Hawataki mateka kwamba hawana wa kuwapikia chakula na kuwapeleka chooni. Ndo maana wanawaua ili kupunguza Mizigo
 
Aisee ni hatali Sana nazani zitakua zimetolewa na USA.kwa hiyo range zitatumika kupiga ndani ya Urusi.
Sorry Mkuu, hapo sijaweka sawa.. Range ya gari ndo km 1,000, na inakimbia 90kmh. Firing range ni 20km hadi 40km. Na ili ifanye kazi inakuwa na watu 6. Ni msaada kutoka Czech Republic
 
Si hilo tu hata bombers sijaona hata 1 ikikatiza anga la Ukraine.

Urusi ukimtoa Nukes hana uwezo wa kupigana hata na JW (tukishikwa mkono)
 
Si hilo tu hata bombers sijaona hata 1 ikikatiza anga la Ukraine.

Urusi ukimtoa Nukes hana uwezo wa kupigana hata na JW (tukishikwa mkono)
Ndicho kinatafuta, akitoa nyuklia na wenzake wanatoa za kisasa zaidi. Yeye anazo za kizamani. Marekani ameanza kutengeneza nuklia kitambo sana... Tangu enzi za Hiroshima.. Utamuambia nini?
 
HIMARS zinatumia satellite kujua zipige wapi, sio macho ya binadamu. Wewe unaset google map vizuri then makombora yanatua. So yenyewe haijalishi mchana au Usiku.
Hichi ndio kitu nilichokuwa najiuliza sana, Umenipa majibu.
Juzi Putin alijijitetea kuwa wamepiga Mall kwa sababu silaha walizopewa Ukraine zinafichwa kwenye makazi ya watu hivyo wakatumia satelite kuziona na kushambulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…