figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #3,521
Mkuu Ukraine sio Mnyonge.. Submarine zishaondoka tangu Jumamos, ndo maana zaweza lipuliwa muda wowote. Labda mimi ndo sijui, naomba Location ambapo Meli ya Urusi inaonekana karibu na snake Island. Hata HIMARS zimeshahamishwa sababu hakuna tishio tena. Pale Odessa kuna mzigo unalinda bahari. Ndo maana tangu Vita ianze, Odessa haijashambuliwa Zaidi ya mara 5. Wanaishia kuharibu makazi ya watu sababu mtambo unalindwa sana.Ila kwa uhalisia pale Snake Island hakuna atayeweka makazi ya kudumu, pale pa moto sana. Na pia Urusi ana faida sababu ya submarines zake zaweza tumika angamiza lile eneo