Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ndicho kinatafuta, akitoa nyuklia na wenzake wanatoa za kisasa zaidi. Yeye anazo za kizamani. Marekani ameanza kutengeneza nuklia kitambo sana... Tangu enzi za Hiroshima.. Utamuambia nini?
Maana kwenye logistics Russia hajiwezi kabisa.

Kama Himars haziwezi pigwa sababu Urusi hana Artillery inayoweza zifikia hiyo range.
Hivyo kwa sasa Urusi anakubali umia tu, kila siku analeta silaha na vifaru
 
Hichi ndio kitu nilichokuwa najiuliza sana, Umenipa majibu.
Juzi Putin alijijitetea kuwa wamepiga Mall kwa sababu silaha walizopewa Ukraine zinafichwa kwenye makazi ya watu hivyo wakatumia satelite kuziona na kushambulia.
Acheni mambo ya propaganda. Je Walivyolipua, walikuta hata Magazini ya AK-47? Wewe sema vifaa vya kijeshi vya Urusi havina range. Anaweza kupanga bomu litue Mtwara likaenda Arusha. Hata hivyo penye Siraha pana Ulinzi wa Kiteknolojia, sio rahisi kulipuliwa. Juzi tu wamelipua depot ya kwenye kata Urusi wakajisifu wiki nzima. Wiki iloisha tumelipua Depots nyingi za Urusi zaidi ya 15,na tupo kimya sababu ni kawaida yetu.
 
Maana kwenye logistics Russia hajiwezi kabisa.

Kama Himars haziwezi pigwa sababu Urusi hana Artillery inayoweza zifikia hiyo range.
Hivyo kwa sasa Urusi anakubali umia tu, kila siku analeta silaha na vifaru
Anaweza kupiga, sema zinalitwa sana kutokea Poland. Hivi unadhani Urusi kataka mwenyewe kutoshambulia kwa ndege Kherkyiv, Kherson au Kyiv? Anajua ndege ikienda kushambulia hairudi. Kipindi yupo kisiwa cha Snake, alindwa kuishambuli Odessa, akaishia lipua makazi ya watu bahati mbaya. Hajafanikiwa lipua hata kambi moja ya jeshi hadi ameachia kisiwa. Ana Teknolojia duni.
 
Ukraine anakosa silaha tu. Mfano angekuwa na M777 Howitzer 500, HIMARS 50, halafu tupate zile Caesar za Ufaransa japo 50 na NASAMS 10 tu, Mrusi atakuwa hana chake. Ukraine ana Jeshi bora la Ardhini, wanakosa silaha za maana tu.
 
Baada ya mifumo ya anga ya Ukraine kurejea, Urusi wananyanyasika sana. Walijua haitarejea wakajisahau. Mungu si Athumani🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Baada ya kuwaua Warusi tunafanya hivi🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Kinachofanya niipende HIMARS, ina winch zake za kushusha Mamkombora na kupakia. Halafu inakamata signal hata iwe porini Vipi. Pia inakimbia kama gari dogo tu. Usiku wa kuamkia leo, Ukraine imeharibu warehouses 12 za Urusi. Urusi wamechanganyikiwa. Halafu HIMARS moja inafanya kazi na Watu 3 tu akiwemo Dereva.
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu msijefikiri Frontline hatuumii. Kikubwa ni kutokukata tamaa. Huwezi muachia nyumba yako ulojenga mvamizi akikuvamia, lazima upambane.

Ngoja muone kidogo hii Warusi wakituhangaisha
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu ni ndugu yetu wa Belarus alikuja kutusaidia Ukraine. Anaitwa Komando Ivan Marchuk aka Brest. Walimuua Juzi tulipo retreat Lysychansk. alikuwa anaongoza Kikosi cha Volat battalion cha Wabelarua. Watu wake wengi walikufa siku ile na wengine kuchukuliwa mateka. Apumzike kwa amani. ⛪
 
Mshangao mkubwa ni kelele zake mara oooh nina bombers
Nikasema heee mbona hapeleki Kyiv

Urusi mkwala sana ila uwezo butu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…