HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Maana kwenye logistics Russia hajiwezi kabisa.Ndicho kinatafuta, akitoa nyuklia na wenzake wanatoa za kisasa zaidi. Yeye anazo za kizamani. Marekani ameanza kutengeneza nuklia kitambo sana... Tangu enzi za Hiroshima.. Utamuambia nini?
Kama Himars haziwezi pigwa sababu Urusi hana Artillery inayoweza zifikia hiyo range.
Hivyo kwa sasa Urusi anakubali umia tu, kila siku analeta silaha na vifaru