Vampiree
JF-Expert Member
- Jun 29, 2020
- 530
- 1,342
Shukrn mkuuSamahani sana Mkuu mimi jana nliona inaongelewa na Urusi kwamba Wamelipua HIMARS 2, nilikosa Ushahidi wa kudhibitisha. So naona kama propaganda hadi nitakapopata picha ya HIMARS iloharibiwa. Lakini hadi muda huu sijapata picha zaidi ya Maneno. Mimi mtu wa picha ndo naamini..
Hadi sasa hakuna HIMARS Ilolipuliwa. Na leo saa moja usiku zimefanta kazi
View attachment 2282869